Recent content by PINER

  1. P

    Jaydee apanga kutengenezewa beat na Dr. Dre

    labda amewish..
  2. P

    JK amteua Saada Mkuya Salum kuwa mbunge

    Rais amemtua saada mkuya salum kuwa mbunge wa jamhuri ya muungano wa tanzania....
  3. P

    Ray the greatest na tamko rasmi la kuhusu kuhusishwa na kifo cha kanumba

    well said....MDAU....Na hata muandishi amesema RAY na Mange hawafanani wako totauti sanaaaa...NADANI PALE MUANDISHI ALIMAANISHA RAY STD 7 NA MANGE MBA...NAKUBALIANA NA MWANDISHI KUWA HAWA WATU HAWAFANANI WAKO TOFAUTI KABSAA
  4. P

    Jamani inasikitisha hali ya afya ya Sajuki mme wake Wastara

    Jamani vengu inasemekana anaendelea vizuri kwani amenza kusimama na anafanyiwa mazoezi ya kuongea...mwenye clip ya kipindi cha take one atuwekee tumuone sajuki...poleni sana hiyo ni mitihani toka kwa mungu itapita tu.
  5. P

    Wana jf niungeni mkono namshtaki lusinde.

    Kwakweli hilo jambo ni la busara na nakuunga mkono muheshimiwa ila usisaha na zile za dr. Slaa pale mwembe yang alipomtukana jakaya kikwete na mama yake kipindi cha kampeni burn kwa pamoja....tukipata wazalendo 100 tu kama wewe tutafika mbali.
  6. P

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Mtanzania mzalendo na anaependa nchi si kila jambo analoelezwa kuhusu chama au kiongozi basi awe anabisha....Kwasabab tu anakipenda chama au kiongozi wake..Kumbukeni hao viongozi ni binadamu na kila binadamu ana mapungufu yake....Kama huyu ameleta huu "UZUSHI" Basi anatakiwa mwengine aje...
  7. P

    Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

    hao ndo viongozi wetu.
  8. P

    Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

    KAMUGISHA UMEUA loll..ati RPC Mwanza, RPC KIGOMA..unatisha wewe.
  9. P

    Wabongo na majina ya mbele a.k.a unyamwezini

    ha ha ha hapo kweli djfetty kawachana....huyo sinta nakumbuka jina la jenifer lopez lilikuja kupitia magazeti ya udaku...kipindi kile alipokuwa akibadili mabwana kama dalala...akitoka huyu kaingia huyu...na kipind kile jlo wa ukweli naye alikwua na vikashfa kama hivyo..KWAHIYO SINTA AKAONA NA...
  10. P

    Sharo Millionea atoka Kivingine

    ..dah kwani kuna jambo alilosifiwa ambalo hana au kuna sifa kapewa si yake?
  11. P

    Sharo Millionea atoka Kivingine

    mhh mmh..
  12. P

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    BAADA YA MIAKA 5 AMBAPO CHADEMA NDO ITAKUWA IKIONGOZA NCHI SIPATI PICHA LABDA MUMEWE NDO ANAKUJA KUWA MBUNGE HALAF WAZIRI WA FEDHA/AFYA AU CHOCHOTE MKE WA WAZIRI HATA YES/NO HAJUI...PENGINE UMEKUJA UGENI TOKA NJE YA NCHI INABIDI PAWEPO MKALIMANI....YAANI MKE WA KIONGOZI KUAMBIWA UMEFIKA LA 7...
  13. P

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    Jamani tusitake kutetea ujinga....suala la elimu hasa kwa mwanamke ni muhimu...hasa ukizingatia mama ndo muendesha familia...hivi hao watoto wake atakao zaa atawaambia elimu si muhimu mkiishia darasa la 7 mfanye kazi za ndani then uolewe na mume wa kwanza ukiona hana mshiko, achana nae olewa na...
  14. P

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    Kitu kingine ina maana hata home work ya mtoto wake itamshinda kumsaidia ukizingatia darasa la 7 alosoma yeye ni za shule za kata na watoto wake nina uhakika kwa upeo mzuri wa mumewe itabidi watoto wapelekwe English medium sxhool..JE ATAWASAIDIA VIPI WATOTO KATIKA HOMEWORK AU CHOCHOTE???...Na...
  15. P

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    Jamani tusitake kutetea ujinga....suala la elimu hasa kwa mwanamke ni muhimu...hasa ukizingatia mama ndo muendesha familia...hivi hao watoto wake atakao zaa atawaambia elimu si muhimu mkiishia darasa la 7 mfanye kazi za ndani then uolewe na mume wa kwanza ukiona hana mshiko, achana nae olewa na...
Back
Top Bottom