Recent content by pierre16

  1. P

    JamiiForums Tanzania WATOTO NJITI: Njia salama za kumuweka Mtoto ili awe salama wakati wote

    Kama amezaliwa na miezi saba means asiogeshwe kwa miezi miwili mpaka itimie ile miezi tisa?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Amani Abeid Karume huwa hatumiki kwenye kampeni za CCM Zanzibar?

    Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
  3. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

    Membe akanusha taarifa za kuungana na Chadema ktk nafasi ya kuwania urais
  4. P

    JamiiForums Tanzania NHIF yaja na makali zaidi kwa Watanzania, yaondoa dawa lukuki kwenye orodha ya dawa zinazonufaika na malipo ya bima

    Jumla ya dawa 138 zimeondolewa ktk bima ya afya kuanzia September 1,2020. Tazama dawa zilizoondolewa hapa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mahojiano kati ya Andrew Chenge na Mwandishi wa TheGuardiantv leo

    Mbona umecopy na kupaste bila citation?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Ni Dar Kariakoo mtaa wa aggrey/Livingstone jirani na bakhresa just call 0784062066
  7. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

    Kumbe wako vizuri kama wamewanunulia wanachama wote hao mafuta,
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

    Ma Mambo hayafanani kila muhula ndo maana jk aliongoza muhula wa kwanza kwa 80+% kwa hiyo jiwe alivyoshinda kwa 62% ni aibu ?
  9. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

    Na hao ni mataga au
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Anaetaka vyombo classic jumla nimpe chimbo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Hawajaandama hao wamesimama nje ya jengo,unajua maana ya maanfamano?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Moja ya Wilaya zilizosahaulika na masikini zaidi Tanzania

    Ubinafsi na miundombinu ya Barbara mibovu ni kweli pia hawana bahati ya kupata viongozi machachali wa kuwasemea,ila mabomba ya maji yapo hadi vijijini pamoja na chakula cha kutosha
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyetia nia Ubunge atishia kuiburuza MCT Mahakamani kama atafukuzwa kazi. MCT yasema ni Haki yake

    Ndio nyie mnaandika habari za kupotosha kisa itikadi zenu MCT wapi sahihi tena muondolewe haraka sana
Back
Top Bottom