UJAFANYA UTAFITI BALI UMEAMUA KUFURAHISHA WATU kwa SABABU ZIFUATAZO:_
1.ukimeza kitu kwakawaida kinaenda ktk koo la chakula na si vinginevyo,ikitokea kimeingia koo la hewa utakohoa ad ujambe!
2.ikitokea umekimeza kimekaa horizontal hewa itapitaje?
3.kiufund pen inawekwa shimo kwa malengo ya...
hata kiungo chako cha mwili kikitajwa na mtu mwingine kinaonekana tusi,
hivyo kama kweli aliyatamka maneno yayo anabud kuwataka radhi,kwan yy ndio aliyewazalilisha.
yey alijuaje kam walivuliwa shanga? mbona wenyewe hawajalalamika km ni kweli,
Pilipili usiyoila inakuwashia nn?
Sio kila ushauri unaopewa bas uutumie,
maana wengine wanafikiria kuongeza vidumu,wenye wenza walioko mbal wanafikilia kuchukua wafanya kaz wa nyumban..
acheni hiyo tabia,
haya ni mambo ya kufikirika tu!
Mimi nimeshapima ,nakushaur ukapime tez dume!
kwa hyo nn mawazo yako ?? wasipunguze den??
kama kila mwez takwim zinaonesha kunaongezo la ukusanyaj wa mapatao kama mwez huu january sichin ya 1.5t kwann bada ya miaka kadhaa tusipunguze kama sio kumaliza kbs den..
walianza kazi baada ya kula kiapo,hivyo hiyo pesa waliolipwa 1.4 ni sawa kbs,
Tena kunaumuhimu kwa wabunge watao susia na kutoka nje wasipewe posho kwa siku husika.
Kwan kama kweli wanatetea haki za raia kwa kutoka nje why wasign posho?
Kutoka nje au kupiga keleke kwa msomi si njia nzuri ya...
BAADA YA KUTOA USHAURI KWA BINTIE, BABA HAKUMUACHA NYUMA KIJANA WAKE WA KIUME ALIMPA BUSARA ZIFUATAZO KATIKA KUTAFUTA MKE
Mwanangu kwa unyenyekevu mkubwa napenda niwe mkweli kwako. Usiweke kipaumbele kuoa mwanamke kwa kuangalia size ya makalio yake au size ya maziwa yake ila jali sana size ya...
Kila sehemu zina sheria ,taratibu na kanuni zake,ili kuwa ktk sehm husika hauna bud kufuata hizo taratibu na sheria za hapo. Alicho/anachokifanya paroko huyo si sahihi kulingana na sheria ,kanuni na taratibu za kanisa katoliki. Penye ukweli tuseme ukweli,kama sheria inakutaka ufanye hiv wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.