Wakaweke hoja hiyo ndani ya Bunge tena wawaombe warushe kiwe kipindi maalum, special kabisa cha bungeni tuwaone wakidai pesa hizo na wate wengine wapite mbele ya carema iwarekodi vizuri.
Mshahara wa mbunge ni mil 12 Hiyo 1.4m ni net au basic? Wataje Gross yote waliyopata,inawezekana wamewekewa basic 1.4m Ila allowances zimeenda hadi 11m.
walianza kazi baada ya kula kiapo,hivyo hiyo pesa waliolipwa 1.4 ni sawa kbs,
Tena kunaumuhimu kwa wabunge watao susia na kutoka nje wasipewe posho kwa siku husika.
Kwan kama kweli wanatetea haki za raia kwa kutoka nje why wasign posho?
Kutoka nje au kupiga keleke kwa msomi si njia nzuri ya kutatua tatizo.
Hayo ni maoni yangu msinijengee chuki!!
habari ndo hiyo mnapotoka nje sio kwamba mnatusaidia raia bali mnatunyonya kwan kikao cha siku mbili mnakifanya kiwe cha siku zaid ya 2 au kushindwa kuwasilisha hoja ambazo ndio kaz mliyotumwa na wananchi M kaifanye bunge sio kutoa lugha za matusi kam mtu asiyenda shule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.