Recent content by phoncy

  1. P

    Joyce Ndalichako yafuatayo usiyasahau

    Fikiri kabla ya kusema na ucfkiri ni rahs khvyo bb kuna kitu kinaitwa pcb duh weka mbali na wtt ile bora uende dploma hlf ndo uende degree hyo ndo njia nzuri sawa ee
  2. P

    Human microchips analysis

    Na vp khs wale wanaotumia vijiti kuzui mimba?, we bn ee mzungu huwa hashindwi bn
  3. P

    Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    Duh Watu wengine cjui mnajickia tu kuongea au ndo mnasema ni akl ya asbh huwezi fkr sana na ka n hvyo bc uwe una subr sa nne ukoment mana opi zngne ni na wacwac na elimu zenu kabisa, huwezi ukashindwa kuchambua kauli ya dokta ht ka huna akili na haya yote yamewekwa waz kwa kupitia gwajima na...
  4. P

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Hb tueleweshe umeelewa nn mkuu we km we
  5. P

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Hapo kweli nmekuelewa mkuu ss samhow you are correct
  6. P

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Co kuangalia tu na kuielewa vdeo
  7. P

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Japo mi mwanaccm lkn jamani sa zingine mnashindwa kuwa waelewa cjui kwann coz ukiangalia hyo clip ya youtube naona huyo mzee kaeleza vzuri tu kwamba yy hasapoti chama wala mtu bali mabadiliko na ht sahv ukiangalia anamuunga mkono magufuli na anamwombea kwa yote anayo ya fanya, bt kikubwa...
  8. P

    Ananipenda mpaka naona huruma

    Dah mpende akupendae ucmtupe anaeibuka now mana hujui siku wala saa utakapo dondosha chozi na kukimbilia sumu ya panya kisa umetenwa na anaekupenda ambae ni mchumba wa mtu mwngine kwa sahyo dah hakika nawaambieni wako wengi waliotamani kupata penzi na pendo la kweli lkn walishindwa kutokana na...
  9. P

    CHADEMA yalaani dhamira ya Serikali kukataza Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

    Hey kimya tuungane wote na serikali hasa nyie fichua maovu wa ukawa kina tundulissu mnyika kafulila na yule wa act bwana zitto tuikomboe nchi tycbaki kulaumiana tufanyeni kazi ss
  10. P

    Jamani huu utumbuaji wa majipu!!!

    Ni kweli bt ni ngumu coz of katiba
  11. P

    Msaada nipo ugenini mwenyeji ananitisha

    Endelea kulala tuone mwisho atafanyaje we jifanye tu bt asije akakubaka kuwa mwangalifu
  12. P

    Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    So umeme bure unawezekana sio au
  13. P

    Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Serikali inachangia kwa upande flan coz mbn libya kuna kipind umeme ulikuwa bure jamani y cc tucweze jamani
  14. P

    Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Hiyo ya magari ni special case yanatakiwa yacingizwe kabisa bandarin, mbn ka inawezekana jamani
Back
Top Bottom