REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,607
- 9,811
Namini penye wengi hapalibiki jambo
Kama mnavyojua tupo katika msimu wa sikuku hivyo nimeamua tembelea ndugu na jamaa
Tatizo ni hivi hapa ugenini tumekuja watu kama wa tatu hivi kama mnavyojua nyumba za mjini vyumba vichache hivyo tu. Chumba ninacholala yupo kijana mwenyeji yeye anaishi hapa hapa tatizo ni kuwa nikianza sinzia na sikia ananistua kwa kunigusa nikistuka anatulia anajifanya kalala hivyo hivyo kama Mala kumi
Inabidi nijikolomeshe nione vip je naota au nashangaa anainuka anakuja ananitikisa nastuka anajifanya kalala
Ajabu uyu kijana anajifanya. Mlokole na anasali kweli
Miaka kama minne iliyopita tulikutanaga sehemu tukapewa hifazi tukalala akawa Anafanya hivi hivi
Leo tena anafanya jamani ebu nijuzeni nini hii maana napanga nizuge nimelala ile anakuja tu nimpige bonge la ngumi nachogopa nipo ugenini naogopa aibu