Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
kweli kukaa katka third world country matatzo matupu.
Kila mtu anajifanya anajua kulko mwenzie!!!
Kila mtu anajifanya anajua kulko mwenzie!!!
Aondoe G.P.A halafu unasema asiyefikisha 3.0 no degree mbona hueleweki.
weng humu ndan ni mapinzan wa elimu, kiukwel nenda sasa advance halafu fanya research kwa wanafunz wa BRN, bola kidogo wanao soma comb za scince ila wale wengne ndo hawajimelew kabisa tusubir ACSEE 2016 RESULTS tutaona.
BRN IONDOLEWE
1.ondoa GPA
2.ondoa BRN
3.ondoa DV.5
4.asiye fikisha 3.0 ACSEE no degree
5.ondoa mtaala wa 2008
6. Diploma kwa watakao pata below 3.0 ACSEE
weng humu ndan ni mapinzan wa elimu, kiukwel nenda sasa advance halafu fanya research kwa wanafunz wa BRN, bola kidogo wanao soma comb za scince ila wale wengne ndo hawajimelew kabisa tusubir ACSEE 2016 RESULTS tutaona.
BRN IONDOLEWE
Kwani kwenye mfumo Wa kutunuku Madaraja tunalo daraja linaloitwa "divishen 5"??
Awaondoe Akina MINJA Pale WIZARANI ni Wapiga Dili kama Maofisa UTUMISHI.jamaa ukifika ofisini kwake No 55 Anakaa juu ya Meza kama chakula vile.
7.Ondoa Form iv kusoma STASHAHADA na SHAHADA bila kupita form vi
8.Ondoa waraka gandamizi kwa walimu waliojiendeleza kielimu
Physics, Chemistry, Mathematics & Biology .. hayo ndo masomo raisi sana kwa sababu hakuna aja ya kukariri. Wanafunzi wkiandaliwa vyema toka primary watayamudu vyema. Badala ya kuwafundisha masomo mengine mchanganyiko k.v history, geography n.k wawakazanie mapema kwenye masomo hayo!Fikiri kabla ya kusema na ucfkiri ni rahs khvyo bb kuna kitu kinaitwa pcb duh weka mbali na wtt ile bora uende dploma hlf ndo uende degree hyo ndo njia nzuri sawa ee