Recent content by Ph-25

  1. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Kanisa la RC Nyangh'wale mkoani Geita

    Hili ni moja ya kanisa kongwe kidogo hapa wilayani na mkoani pia,kanisa hili tangu aondoke Padre mmoja aliekuwa anaitwa Bilinge, halijawahi kupata Padre ambae anaelewana na waumini. Huyu aliepo sasa ndiyo anasababisha mitafaruku mingi sana kila leo, waumini wanatukanwa kanisani matusi mazito...
  2. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa akili hizi basi sishangai jeshi lenu la kenya KDF (kenya drunkard force) wana sanda kwa alshababu pale somalia.
  3. Ph-25

    JamiiForums Tanzania EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

    Mbuzi kabisa hii,watu wanalia gharama za maisha,ikiwemo chakula kua juu wewe unazungumzia instagram kuondoka urusi? Kwaio apo ulipo unakula instagram.?
  4. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yawataka raia wake waondoke Urusi

    Hana uo uwezo.
  5. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

    Wewe kama nani unaesema mrusi lazima asarende.
  6. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwaio na wewe unaiamini io tovuti kwa kila kitu.? Yani mzaliwa wa chato burigi akatambuliwe jina na mkenya wa kisumu huko kiraisi raisi tu.? Maiti zinaungua moto hovyo uo utambuzi wanatumia njia gani kuwatambua.? Au ndio unaamini propaganda za kua warusi 5000+ wameuwawa na ao kiev.? Unaamini...
  7. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

    Mgagani
  8. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

    Hakuna kijiji kinacho itwa msanga kwa dibibi bali kuna kijiji kinaitwa msanga. Apo pana soko japo ni dogo sana wamezoea kupaita msanga sokoni. Sasa kwa mbele kuna check point ya maliasili kuna diwani mmoja amejenga apo huyo diwani ndio anaitwa dibibi. Mtoto wake mmoja anaitwa shafii nimesoma nae...
  9. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Hauwezi pata io sat beam haifiki dar.
  10. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

    RIP Neema nitakukumbuka daima ulikua nguzo kwangu tangu una soma nursing pale lugalo ukiishi kawe... Rest in peace Chawala,ulikua ni shemeji kwangu nilie muanini sana,nafahamu misuko suko uliyopitia ktk maisha mpaka mpaka unafika apo,nakumbuka motisha wako juu ya maisha kua tusikate tamaa kamwe...
  11. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

    Chawala alikua nanisan xtrial nyekundu.
  12. Ph-25

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza bweni Shule ya Sekondari Oljoro

    Ndanda.?
  13. Ph-25

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

    Nilikuona wamaana sana kumbe kichwani mweupe tu,umejaa chuki za kipuuzi,hivi unawezaje mtu kua raisi kwa kupigiwa kura na kabila moja tu? Unaanzaje kutukana kabila zima kwa kosa la mtu mmoja? Ficha upumbavu wako.
Back
Top Bottom