Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

Paksat sport ni channel inarusha live matched japo sijajua ni league ipi mi sio mdau wa football( most probably ni EPL). Inapatikana kwa c band nyuzi 36 japo picture quality si nzuri
Kwa upande wa ku nashauri ubaki hapohapo maan nilikuwa najaribu kuchek versave TV naona hawapo tena 52e

Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
Ok.
Pia nmefatilia uelekeo hapo kwny dstv kuna FTA nzur pia za kutosha
 
Shukrani mkuu kwa maelekezo, Kuna mdau kalitelekeza la futi sita. Ngoja nimtongoze anipe
Noo, futi 3 offset ni dogo sana kuwez kupata signal za c band na pia hata lingekuwa kubwa la offset ungehitaji kutumia conical scalar ring kuivisha hiyo c band lnb . Ili kupata 46c unahitaji dish la prime focus futi 6 au 8. (kama una jirani katelekeza yale madish ya zamani meupe jipatie hilo mpe hata ya sodaView attachment 1738557

Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
 
hio sio guess work kaka. Unajifunza kabisa. Mawimbi ya tv hayataki ukosee hata nukta moja. Vinginevyo utadaka kisichotarajiwa ama utakosa kbs kila kitu. Kuna uzi mmoja umo humu uliletwa na member Arselona, ukiusoma tangu mwanzo hadi mwisho utakua mtaalamu wa haya madude.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuomba unisogezee huo uzi, au niambie unaitwaje, napenda sana haya mambo ya kuset visimbuzi
 
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.

Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.

Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi

Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.

Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.

Picha zaidi zitafuata.

Mawindo mema!!!

View attachment 1300184View attachment 1300185

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitafaa.?
Screenshot_20210412-091459.jpg
 
OK hapa DSM kwa nyie watalaam, napata nini kwenye Ku na C band

Maana dish zangu zinapata kutu
 
Back
Top Bottom