Recent content by PFA

  1. P

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

    Singida ukilipia 7000 ukienda kuchukua cheti wanadai 13000 mm nikawagomea afu siku ya pili nikaenda nmevaa kaunda suti safi, nikasikia Samahani mkuu cheti kipo tayaliiii wanazingua sana ahsee....
  2. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Wananchi kugomea t-shirt na fedha za Kawawa, ajitokeza na kusema hizo ni fitna za Kisiasa na kuwa wanaichafua CCM

    Hao jamaa wanapitia wakati mgumu mno kuliko nyakati zote #muda usema ukwelii wakati wote..
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

    Mimi huu mwaka tangu umeanza mpaka sijanunua nyama
  4. P

    JamiiForums Tanzania Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Sio Kwa mwezi huu kwakweli Itabidi tu tuseme shetani amenipitia
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

    Mm Nina miaka kumi sasa mtindo wangu wa maisha naujua mwenyewe lakin sijawah washwa kwakweli
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Hao waturuki wanamalizia pesa kwenye kitimoto na watoto wa kike pale itigi n hatari sana
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Mshukuru Mungu Kwa kukuonesha kuwa uyo siyo mtu sahihi kwako pia muombe Mungu akupe nguvu za kuishi maisha mengine na Mungu atakupatia t ALIYE sahihi kwako
  8. P

    JamiiForums Tanzania Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

    Mm upande wangu kubeti, pamoja na ubishi nimeacha Jana Rasmi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimetua Dodoma leo

    Haha hapafahi uko we fanya kikao tu uondoke zako
  10. P

    JamiiForums Tanzania Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

  11. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Arsenal mpooo? Aston Villa wameshafanya yao EPL

    Wamenichania mkeka wangu😔😔
  12. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi SGR Itigi tumeandama, watulipe stahiki zetu kabla hawajaondoka

    Kazieni hapo hapo mpka mpate haki yenu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Mungu yupo na ndiye anayetupa pumzi na uwezo wa kuziishi kesho zetu..
Back
Top Bottom