Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!

Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!

Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!

Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..

Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216



Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
 

Attachments

  • FB_IMG_1700924062966.jpg
    FB_IMG_1700924062966.jpg
    33.8 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom