Recent content by PeterwaPerer

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Mali za umma zipi zinazoibiwa unazozijua wewe? Au ndio yale yale ya unyumbu? Hujui hata unachoongea Haya nyie hapo Mikocheni ndivyo mnavyofanyiwa na akina Golugwa, Heche? Maana wanajilipa tu tone tone nyinyi hamnazo mpo mpo tu na unaandika kama mzoefu sana na kupumuliwa kisogoni
  2. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Lema jiuzulu nyadhifa zako zote CHADEMA before it's too late

    Mida ni mwalimu mzuri! Ingekuwa ndio cha kwanza ningekubaliana na wewe ila kulikuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu kushinda hata Chadema na sasa historia Kwakuwa mmejaa mabumbumbu humo ndani mnajilisha upepo wa mitandaoni, endeleeni hivyo hivyo Note, Lema kwa sacrifices alizojitolea kwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Nadhani wanakutuhumu kwa ushirikina Haiingii akilini afu 9 upate 27.7m? Ungeenda hata laki angalau! Hata kama mimi nipo kwenye maamuzi kwakweli nitakutilia shaka! Ila komaa kesi za madai zinaweza kwenda hivyo hadi ukafariki wanao wakaendelea ma wakavuta hiyo 3m, kwanza wataona wamependelewa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali Kutumia Nguvu Kubwa Kuhoji Michango ya TONETONE Kwenye Kesi ya Uhaini ni Kuonyesha Udhaifu wa Prosecution side

    Wenzio wanataka kuonyesha Chadema suala la integrity ni zero! Hivyo kutumika kwenye mipango miovu ni wa kugusa ukiweka mzigo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Umeoa mtu anayekuzidi IQ? Umekwisha
  6. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Lema jiuzulu nyadhifa zako zote CHADEMA before it's too late

    Karata ya Lema ilitumika pakubwa kumuondoa Mh Mbowe kwenye Uenyekiti, sidhani kama atakuwa mbuzi wa kafara! Mtu mwizi kama Heche anayemuua mwenyekiti wake mahakamani hivi hivi ndio Lema amkimbie Kitu ambacho nina uhakika nacho viongozi hawa ndio wamekuja kuiua na kuizika kabisa Chadema...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Weka clip acha kujiuza kimalaya malaya CHADEMA na Propoganda za uongo uongo ni chupi na kalio Ndio maana mnatumika kijinga kina Heche wanajineemesha tu na magari makali Hela za wapumbavu, hovyo kabisa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

    Mungu alikuwa anapiga story na Malaika! Mfano wa kibinadamu kabisa Boss wa kampuni binafsi anaweza kuwaambia tu kesho "Tupumzike" sio kwamba nyinyi wote sasa ni wamiliki wa ile kampuni! Mifano ya Mungu ni halisia kwa mazingira yetu haya haya TUMEAGIZWA UPENDO
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mnyika ni kiboko, ndiyo maana alikuwa Tanzania One! Soma alivyombabadua Katuga

    Mnyika anadhani anamuokoa Lissu kwa kuitumbukiza Chadema nzima kwenye kadhia hiyo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Jinsi dhana ya "Utatu" na Mungu kuwa na "Mwana" inavyomshusha hadhi Mwenyezi Mungu

    Mungu ni mmoja tu Utatu ni kweli dhana ya kudogosha na kushusha ukuu wa Mungu Mwenyezi
  11. P

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    Hizi ngonjera za Abdul hivi Abdul vile labda waliobalehe kuanzia 2020 ndio mnaweza kuwadanganya!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Sura tu inaonyesha huyu bwana si askari mwema! Haina nuru Deep down labda ali snitch wenzie Ila kwa sababu zenu za propaganda mnaletaga habari kinyume nyume kutia sumu Mliokota dodo October 29 tu sasa hivi Watanzania wanachanganya na za kwao
Back
Top Bottom