Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,940
- 15,462
Pepo ni ngano za kaleJua limeshazama tafuta pepo tu wakati uliobakisha
Pepo ni ngano za kaleJua limeshazama tafuta pepo tu wakati uliobakisha
Kazuri sema Kwa mazingira yetu ya huku bongo usalama wa mali na maisha inakua hatiani ila Kwa nchi za wenzetu pambe sanaaRaha nisipojipa mwenyewe hata hiyo pepo nitaisikia mbinguniView attachment 3614915
Kama ile historia ya Mama mkwe ya kuyasha taa ukazima ,ukawasha tena ukazima na mwisho ukawasha na kuzima.Kuna siku kuna story nitasimulia hapahapa kuwahusu😂
Alifanya modifications ili iwe ya kipekee sana kakini hakupata wabunifu wazuri wanaoweza ku blend nature na usasa.. Chemistry ikagoma ku tallyNi kweli , pengine alitaka mansion kama za nje, unakuta zipo msituni lakini ni za kisasa
Yeah kakini unaangalia na location ya kujenga.. Tafuta level yako ama iliyokuzidi na si chini yake.. Hakuna rangi utaacha kuona!Kazuri sema Kwa mazingira yetu ya huku bongo usalama wa mali na maisha inakua hatiani ila Kwa nchi za wenzetu pambe sanaa
Hii kitu itapendeza ikiwa pale juu thameNatamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili.
Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani.
Ni lengo langu kuu kufanya kazi kwa bidii na kwa maarifa ili siku moja nigeuze maono haya kuwa ukweli unaoshikika.View attachment 3614793
It's you mkuu, kumbe ni Bwamdogo tuu unatulishaga matango pori humu😂Pengine alikuwa likizo na karudi kazini
Hata Mm sielewi ujue😂Sijakuelewa tafadhali..🤔
Ila hiyo design mmmh! mbona huo ni mtindo uliowahi kuwepo enzi hizo na ukapitwa na wakati. Sasa ww unataka kurudi huko tena?? Tahadhari: Vijana wako wanaweza kusema "dingi sasa anazingua - ona eti nayo hiyo anasema ndo nyumba inayoendana na wakati"😀😀😀 ya ujanani tayari ilikuwa na kila kitu cha ujana
Ya ukubwani tayari.. Ina kila kitu cha kuhimili majukumu ya familia na miundombinu karibu na huduma za jamii
Ya uzeeni bado.. Lakini itakuwa something very sweet for old ages😀
Hamna mkuu nilikua na test mitambo tuu, Kwan weee ni huyo muhusika? Uliniuliza mtazamo wangu ndo nikatoa observations zangu which si uhalisiaOK but inaelekea unajaribu kutengeneza tuhuma bila ithibati