digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,408
- 22,978
Yaa serikali imeingilia kati sana kuwaelimisha waachane na hiyo chagulaga system, ilikuwa ni tabu sana enzi miaka ya 90 kurudi nyuma.Daah yaani hapo ndio wamestaarabika. Hali ilikuwa mbaya
Hivyo haya mambo ukienda shinyanga,mwanza ,geita, simiyu ,mikoa ambayo inakaliwa na wasukuma kwa sasa hayupo.
Mimi ni msukuma,lakini nashangaa kuona utamaduni huu kwa Karne hizi, hata mavazi yao tu,mara ya kwanza kuona msukuma anavaa hivyo ilikuwa ni k ni mwaka 2010 nikiwa liwale-lindi baada ya kupangiwa ajira kwa mara ya kwanza,nilishangaa kuambiwa hawa ni wasukuma,Mimi nilijua ni wamasai