Recent content by petermichaelpeter

  1. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Dabi ipo

    Nani ana uhakika kama kwel mech ipo
  2. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

    Sim gan unataja tu thaman nyoosha maelekezo
  3. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania NIDA wameanza kufunga namba

    Na ulizosajili kabla je na zenyewe zimefungwa au ni vepe apo mzee baba
  4. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

    We unaongea utumbo tu huna lolote je mchi za yanga unazihau si ndio kubali kuwa hizi tim mbili ndo tim kubwa hapa nchini kwaiy watafanya lolote liwezekanalo ili simba au yanga ishinde. Yan ukizitoa hizi tim mbil simba na yanga hakuna ligi mzee kwaiyo acha ushamba wa kijinga
  5. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

    Ni atari sana aisee mi nimefanya nao kaz kama miaka sita ivi sema mi nilikua kibur sana nlikua natukanana na boss kweny msg kama msela wangu tu kesho yake asbuh anawaita wale wazee waliokaa sana et wanisuluhishe aloo nlikua nawaleta sana akiongea na mi naongea kuna mda mwingine akitembea mi...
  6. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Umeongea sana mkuuu sifa kwako hongera sana kwa ilo watu wasiweke vimeo humu bana
  7. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

    Kweli kabisa
  8. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Simba itaingia fainali ikiwa huko Afrika kusini

    Tunaenda hatuishii hapa kombe tunalileta
  9. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Nasema Hivi Simba akipita hii hatua Niwe banned kwa miezi 4

    Wewe akili huna hujui mpira wew kama ni kushinda atashinda na kama sio kushinda hata shinda babu mbona wale waliotolewa na mnyama walishinda kwao mbili bila na wakaja kwa mkapa zikarudishwa. Kwaiy hata kama simba angeshinda jana zaid ya gol mbil huenda angeenda kutolewa tu kama amepangiw aende...
  10. petermichaelpeter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    Nakushauri kama uko tayar naomba ufuate jambo namba mbili ambalo nikurudi bongo nakumuacha huyo mwanamke mi naona hana maana tena kwako.just advice
  11. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

    Apumzike kwa aman ameteseka sana uyo mdada
  12. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Huyu aliexpres ndo msambazaji mkuu wa bongo au ni mchina kutoka china?
  13. petermichaelpeter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumba wa muda mrefu umenichosha

    Unakuchoshaje
  14. petermichaelpeter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume Dodoma

    Vp arusha je hutaki?
Back
Top Bottom