Kuna wakati niliamini kila mtu aliyekaribu na mimi basi ananipenda na anaweza kuwa mtu mwema sana kwangu.
Lakini baadae nikaja kugundua kuwa ukaribu na upendo ni mambo ambayo inawezekana hayana ufanano ingawaje yanakaribiana.
Umenielewa? ndio ipo hivi, Unaweza ukawa na watu wengi unaoishi nao...
Kabla ya Miaka ya 2000 thamani ya taaluma ya Ualimu na Waalimu ilikua juu ikielekea kufanana na ya wabunge na wafanya kazi wengine katika serikali.
Enzi za nyuma waalimu walikua watu wa kusikilizwa na Kupewa Nafasi katika mambo mbalimbali ya kijamii hata pale mabishano yalipotokea Mwalimu...
Suala la Siasa Safi Bado tunachechemea Sana Taifa Limekosa muelekeo sahihi wa siasa kana kwamba hakuna misingi ya siasa Ndani ya Taifa letu.
Huwezi kuzungumzia siasa Safi pasipo kuwepo Uongozi Bora ambao ni "Utawala Bora". Siasa iliyo safi ni matokeo ya misingi bora ya Uongozi na Uongozi ulio...
Imekuwa kawaida Sana pindi mtu anapofariki kupata sifa nyingi kutoka kwa wanajamii hasa wale waliomfahamu au hata kumsikia tu wakati wa uhai wake.
Kwa dunia ya sasa yenye Utandawazi uliokithiri ukichagizwa na maendeleo ya huduma za mitandao ya "internet" tabia hii nayo imehamia mitandaoni.
Kwa...
Kunakuwa na mijadala mingi Sana tena iliyokinzani pale ambapo inatokea mume amemuua mke wake wa ndoa.
Sababu ambayo hukimbiliwa na wengi pasipo hata kuwaza sababu nyingine ni hii ya wivu wa mapenzi.
sababu hii haitoshi kuwekwa kwenye kila tukio la mume kumuua mke wake.
Kuna sababu kadhaa...
"Tozo za miamala na simu ziko palepale, ni Sheria ya bunge siwezi kuzifuta, anayeona hakuna unafuu ahamie Burundi"
Hii ni kauli yenye kukumbukwa iliyotolewa na Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba tarehe 19, julai 2021 akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
Maneno makali na ya kuudhi yaliyo...
Siku za hivi karibuni ameibuka mtu anaevalia mavazi ya kujificha "Spiderman" ambae anazunguka mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam akikata mauno na kuuza vitu mbalimbali ikiwemo matunda na vitafunwa.
Mtu huyu aliyepewa jina la Spiderman wa bongo amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na aina...
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na watazeeka. Lakini pia huamini kwamba, starehe zitaisha.
Watafiti hao wanasema, kutokana na maumbile ya...
Kumekuwa na mjadala mzito wa kitaifa juu ya mabadiliko katika mfumo wa elimu nchini Tanzania.
Wadau na makundi mbalimbali wanataka mabadiliko ya kina katika mfumo wa elimu ili kuufanya uendane na mfumo wa maisha ya Sasa.
Ingawaje serikali bado inaamini kuwa mfumo wa elimu uliopo sio mbaya sana...
Filamu màarufu na mahususi kwa Kutangaza utalii nchini Tanzania "The Royal Tour" kwa mara ya kwanza itazinduliwa na kuonyeshwa huko New York nchini Marekani.
Filamu hiyo ambayo inalenga kuinua sekta ya utarii imeandaliwa katika maeneo mbalimbali ya kitalii nchini kama vile Zanzibar, Kilimanjaro...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.
Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.
"Nafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.