Tumeimarisha mapato ya tanzanite kwa kujenga ukuta
Pili;Tunajenga flyovers hii itasaidia kupunguza foleni
Tatu;Tumesaini kandarasi ya ujenzi wa reli(standard gauge)
Nne;Tumeondoa watumishi hewa,kila sehemu ni hewa tunanyoosha nchi sasa
Tano;Tumedhibiti upotevu wa madini.
Sita;Tumenunua...
TSSF kwa kushirikiana na mfadhili wake anayeitwa CDF International kutoka Seattle, Washington, Nchini Marekani imeanzisha Mfuko wa Elimu ya Juu wa TSSF ambao utakuwa ukitoa ufadhili wa masomo ya shahada ya kwanza kwa wanafunzi wa elimu ya juu ambao hawana uwezo wa kujisomesha chuo kikuu na...
Huo ni ugonjwa unaosababishwa na fungus control kwa kutoa matunda yaliyoathiriwa au ukate kabisa mti ulio na tatizo usiathiri miti mingine pia spray copper sulphate itakusaidia nenda Dukani utazipata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.