Papai langu linaumwa

Papai langu linaumwa

Huo ni ugonjwa unaosababishwa na fungus control kwa kutoa matunda yaliyoathiriwa au ukate kabisa mti ulio na tatizo usiathiri miti mingine pia spray copper sulphate itakusaidia nenda Dukani utazipata.

Mkuu.
Nimepitia michango ya wadau kuhusu uzi huu, na nilivyosema hapa, nikaona kuna kitu.
Mimi ni mdau wa mipapai, tatizo hili nimekuwa likijitokeza mara Kwa mara.
Ktk uzi uliowekwa" stick" juu ya kilimo cha matunda Na mbogamboga hapo juu. Mtaalamu ktk ukurasa wa 59 alijibu hoja hii. Ni kweli ni fungus au kuvunja Kwa Kiswahili lkn unatibika na huhitaji kutoa matunda yaliyotokea bali puliza dawa.
Zipo nyingi lkn mimi hutumia Dimethionate na kupata matokeo mazuri.
Kila la kheri
 
Nimekupata mkuu
 
wakuu niliotesha papai langu Mungu mkubwa limeota vizuri na limetoa matunda ya kutosha .sasa hivi sijui limepata majanga gani matunda yote yapo kama yamemwagiwa unga unga hiv,
naombeni ushauri. nilitibu vipi?

IMG-20160511-WA0107.jpg

1. Chuma majani ya mti wa mwarobaini kisha yatwange kwenye kinu.

2. Loweka mchanganyiko wa majani kwenye maji kwa kutumia chombo kisafi kwa masaa sita.

3. Chuja mchanganyiko wako vizuri na weka maji yake kwenye bomba (sprayer).

4. Kisha pulizia mapapai yako na huu ugonjwa utaoondoka wote na mapapai yako yatabaki na afya njema.

ZINGATIA: Tiba hii inafanya kazi vizuri endapo mapapai hayajadhurika sana, vinginevyo hakikisha unatungua mapapai yaliyooza mapapai mapya yanayochipua yatakuwa salama; hakikisha unapuliza dawa hii mara moja kwa wiki.
 
Back
Top Bottom