NMB yapandisha makato kwa wakopaji ambao ni watumishi wake

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
830c08edd9fc1dc2bed274bdac429963.jpg
 
Hakuna sehemu ambayo barua imetaja watumishi wa Umma (Public servant) Suala ni Watumishi/wafanyakazi wote wenye mishahara na wanataka kukopa. Uzi umekaa Kichadema.
Chadema ilikukataa baada ya kukuvua? Hivi mnachungulia kwenye kajisimu hako kalichochoka kutafuta ni wapi uitukane au kukikashifu cdm. Aibu kwelikweli. Tafuta maisha wewe usijechelewa ukageuka ombaomba.
 
Hakuna sehemu ambayo barua imetaja watumishi wa Umma (Public servant) Suala ni Watumishi/wafanyakazi wote wenye mishahara na wanataka kukopa. Uzi umekaa Kichadema.
halafu tangazo lenyewe linawahusu NMB STAFF
 
Back
Top Bottom