Mshahara tarehe 20?

Wafanyakazi wa serikalini mnaraha, nimetoka kumtembelea jamaa yangu anafurahi kupata mshahara Leo tarehe 20.

Hongereni Sie acha tuisome namba.
Kutoka kwa mshahara mapema si kwamba ni raha ni mateso tu kama huna kitu kingine cha kukuingizia hela. Bado Siku ngapi kama kweli umetoka Leo ili mwezi uishe? Siku kumi kwa mishahara ya JK ni nyingi sana ( kwa maana hatujawahi kuona mishara ya JPM) ukilinganisha na maisha ya sasa. Anyway wenye mishahara hongereni tu kwa kutoka mapema, ila sijui kama mtasustain. Sisi wa vibarua vya wahindi tunasubiri barua za khaki hadi tarehe tano
 
Hata hivyo it doesnt make much difference maana wanaonufaika ni NMB ambao wanapata marejesho yao mapema, na bodi ya mikopo ambao nao wanapata makato yao mapemaa kabisa...
By the way itakuwa ni heri kwa maana chenji iliyobaki itasaidia kutibu makovu ya Pasaka...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom