Papai langu linaumwa

Papai langu linaumwa

nataka kuwa mteja wa hilo papai pamoja na ugonjwa wake
 
Papai kwa maana ipi? Papai kwa maana ya kibailojia ni tunda, sasa linawezaje tena kutoa matunda? Nijuwavyo mimi kwenye papai la mti wa mpapai hutoa mbegu.

Ili lazima litakuwa papai kwa lugha ya picha.
 
Huo ni ugonjwa unaosababishwa na fungus control kwa kutoa matunda yaliyoathiriwa au ukate kabisa mti ulio na tatizo usiathiri miti mingine pia spray copper sulphate itakusaidia nenda Dukani utazipata.
 
mnanichekesha eti
 
asante mkuu .
 
wakuu niliotesha papai langu Mungu mkubwa limeota vizuri na limetoa matunda ya kutosha .sasa hivi sijui limepata majanga gani matunda yote yapo kama yamemwagiwa unga unga hiv,
naombeni ushauri. nilitibu vipi?
Njoo kwangu tulikague kwanza
 
Back
Top Bottom