Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,643
Mi najua kwa android sielewi kwa zingine
Khasante mkuu
Mi najua kwa android sielewi kwa zingine
Ww umejua lini mkuu acha kumvunja moyo mtoa post ww sasa ulijua mda mrefu kwann usifundishe watu humu unazinguaIna maana ndio mnajua leo?
naomba mimi hata hiyo ya kuwka picha katika groip lakini ionwe na ,e,ner niliowaweka ktk contact tuProfile pic kiaje mkuu? Ukiona kivuli ujue huyo mtu kaweka ionwe Na contacts zake Tu ..
unawajua MADUANZI ???? wee ndio kichwa PANZIIna maana ndio mnajua leo?
kweli duniani kuna vichefuchefu /viherehereHaya na vp khs profile pic??
Profile pic kiaje mkuu? Ukiona kivuli ujue huyo mtu kaweka ionwe Na contacts zake Tu ..
Style ni kupayuka tu,,ukitaka kick mjini payukaunawajua MADUANZI ???? wee ndio kichwa PANZI
umeilizwa swali hili jb basi
kweli duniani kuna vichefuchefu /viherehere
Hii ipo kwenye GB WhatsApp nafikiriMimi zangu naweka nani ii nikitaka mtu aone sijasoma, nitaingia na kufungua bado kwake itaonyesha tiki mbili bila kubadilika kuwa blue...na najibu nikiamua hata akiniona online...haswa natumia kwa ma group.
Pia utokea
Profile pic kiaje mkuu? Ukiona kivuli ujue huyo mtu kaweka ionwe Na contacts zake Tu ..
3.Upande huo huo wa tiki kwa maana upande wa kulia mwa post yako,tumia kidole gumba kugandamiza kama unataka kuifuta, yaani ikandamize moja kwa moja hadi option za kufuta,kufoward n.k zitokee.
Ebu hiyo yiko je bocSiku hizi pia kuna option ya kusoma text na usionekane kama umeisoma, so nadhani km wote tukiweka hyo option sidhani km hii kitu itafanya kazi
Mimi nina swali kidogo je kwenye sms ya kawaida kama sitaki zingie na sim yiko on nawezaje kuiblacklist kama tunavyofanya kwenye calls?Hata la mguu
Kuna namna tofauti na ya ile kwenda privacy? Nakublock last seenMimi zangu naweka nani ii nikitaka mtu aone sijasoma, nitaingia na kufungua bado kwake itaonyesha tiki mbili bila kubadilika kuwa blue...na najibu nikiamua hata akiniona online...haswa natumia kwa ma group.
Pia utokea