Tangu anguko la RFA kutokea kutokana na kutosikika kwa watangazaji mahiri niliokua na wakubali...hata sina muda tena hizi zilizo ibuka jana,maisha yanaenda kasi sana
duh..! Pole hapo comb hazijakaa sawa,kibaya zaid F ya history.. uskate tamaa jiendeleze,soma unachopenda VETA upate ujuzi ili umudu changamoto za maisha,au kama nyumbani wako vizur kua mjasiriamali tu
Mkuu hao acha nao kabsa,hata wanaokimbilia huko ni fyatu kichwani..! walimu wana kero kibao tena vijijini ndo usiseme,lakn juzi ndo wanajikombakomba hata viongozi wao ndo ovyo kabsa,zile million 50 ndo kabsa..mafungu yanapgwa juu kwa juu na akina bashite na muro na lile jamaa kubwa ila akili nukta
Suala la kuanzisha familia au kua na mtoto ni uamuzi wa mtu,tena huwezi kumshauri kama fikra zake haziko tayari kupokea suala hilo,kila mtu apambane na hali yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.