Tusidanganyane: CHADEMA haina nguvu ya kushinda jimbo la Kinondoni

Hv upinzani wamerogwa!? Kwann wasiungane jman!! Yn wao ukawa mpk 2020.
Inaniuma sana tunaenda kukosa jimbo kwa ubinafsi km ule was mwaka 2015 segerea kwa Mtatiro.
 
Cuf haitashairiki huu uchaguzi.....kuna ile cuf-ccm ya Lipumba ambayo imeishiwa kwa hapa mjini hakuna anaeinga mkono...hivyo cuf watakua pamoja na chadema kulichukua jimbo hilo chini ya ukawa.

Pili Pascal Mayalla ameandika makala nzuri sana ilojaa ukweli kuhusu chaguzi hizi za marudio.
Kwa ufupi wagu wa kinondoni sio wajinga ...sio kama hawaoni ujinga wanao fanyia na ccm ...wa kumnunua mbunge wa Myulia halafu kumhonga pesa na nafasi ya kuogombea upya.
Ni ujinga ulioje kwa mwana ccm kukubali ubadhirifu huu wa pesa za rushwa na marudio ya uchaguzi.

Watu wa kinondoni wata ongea kuwa hawapo tayari kuona ujinga huu unarudiwa mahali pengine..huu sio uchaguzi ambao ccm wanaojitambua watakubali kuhalalisha ujinga dhidi ya watanzania. Mtulia hastahili kabisa kupigiwa kura na watu wa kinondon....ni useless haaaminiki , ni mla rushwa
 
Hivi watu wengine hutumia nini kifikiri?Kwahiyo kila chama inabidi wasimamishe wagombea maeneo ambayo wanauhakika wa kushinda kwa asilimia miamoja? Kwakweli huu ni zaidi ya upumbavu.
 
Cuf haitashairiki huu uchaguzi.....kuna ile cuf-ccm ya Lipumba ambayo imeishiwa kwa hapa mjini hakuna anaeinga mkono...hivyo cuf watakua pamoja na chadema kulichukua jimbo hilo chini ya ukawa.

Pili Pascal Mayalla ameandika makala nzuri sana ilojaa ukweli kuhusu chaguzi hizi za marudio.
Kwa ufupi wagu wa kinondoni sio wajinga ...sio kama hawaoni ujinga wanao fanyia na ccm ...wa kumnunua mbunge wa Myulia halafu kumhonga pesa na nafasi ya kuogombea upya.
Ni ujinga ulioje kwa mwana ccm kukubali ubadhirifu huu wa pesa za rushwa na marudio ya uchaguzi.

Watu wa kinondoni wata ongea kuwa hawapo tayari kuona ujinga huu unarudiwa mahali pengine..huu sio uchaguzi ambao ccm wanaojitambua watakubali kuhalalisha ujinga dhidi ya watanzania. Mtulia hastahili kabisa kupigiwa kura na watu wa kinondon....ni useless haaaminiki , ni mla rushwa

Kiongozi kabla ya kuzungumza hebu vuta picha uchaguzi wa mwaka 2010.

Jiulize kwanza chadema walipata kura ngapi na cuf walipata ngapi hadi ikapeleka ccm chini ya iddi azzan ikashinda uchaguzi .

Kuna tofauti gani kati ya cuf ya mwaka 2010 na cuf ya sasa ya 2018.

Katika kupiga kura ivi unadhani katika karatasi ya kupigia kura kuna sehemu imeandikwa ukawa .

Ivi unadhani kuna sehemu kuna nembo ya cuf lipumba au cuf au kuna chadema ukawa na cuf lipumba.

Kabla hujauliza hebu kaulize tume ya uchaguzi
 
Unajua nyie bado mnatokumbukia mifano ya 2015!...hii issue ya kiondoni iko tofauti kabisa!..Nani zezeta wa kumpigia kura msaliti aliyenunuliwa?..Cuf ya Lipumba haina nguvu kabisa kila mtu anajua ni msaliti na ni mamluki wa ccm!..Uchaguzi ukiwa ni wa haki Mtulia na yule wa cuf lipumba hawatafikisha hata 20%ya kura!..Poleni sana wananchi wa sasa sio mazoba!
Mtulia akishinda ni dharau kubwa sana kwa wapiga kura mtu kajiuzulu mwenye we,bila ridhaa ya wapiga kura,leo anakuja tena kuwaomba mumuamini,utamchagua vipi mtu asiehaminika ambae ujui hata kesho anaweza hama tena akahamia chama kingine,MTU aangaliae maslai yake badala ya maslai ya wapiga kura,inabidi usiwe timamu kumchagua.
 
Ndivyo mlivyodanganywa humo kwenye kamati kuu!!
wazee wa utafiti kutoka abroad!
Ccm wenyewe tu huku kinondoni wanasema hawawezi wapa kura wahamiaji wagombea waliohazimwa kwa dharura toka vyama vingine waliopitishwa bila kupigiwa kura na wajumbe.
 
MOLLEL NA MTULIA UNAWAJUA VIZURI? CCM INAWAJUA VIZURI KULIKO CHADEMA SUBIRI UTASHANGAA CHADEMA WATAKAVYOPIGWA CHINI
Polineccm,wakikaa pembeni yaani sanduku La kura likaachwa liamue mshindi,Hakuna MTU timamu awachague watu wasioaminika ambao ujui kesho watahamia chama kipi. Maana ni dharau sana kwa wapiga kura.
 
Katika kosa ambalo chadema wamefanya na litawagharimu ni kusimamisha mgombea wa ubunge katika jimbo la kinondoni huku wakitambua cuf wamesimamisha mgombea.

Katika jimbo la kinondoni kuna maeneo ambayo chadema inakubalika na kuna maeneo ambayo cuf inakubalika .

Maeneo ambayo CUF INA NGUVU NA INAKUBALIKA MUDA MREFU NI

1.maeneo ya tandale

2.maeneo ya magomeni suna

3.maeneo ya magomeni kagera

3.maeneo ya magomeni mzimuni

4.maeneo ya mwananyamala karibia yote .

5.maeneo ya kigogo yote

Haya ni maeneo ambayo CUF ina nguvu muda mrefu.

Chadema inakubalika sana maeneo ya kinondoni na kijitonyama .

Ukirudi katika uchaguzi wa ubunge chadema kaweka mgombea na cuf kaweka mgombea na katika uchaguzi huu orvious CUF NA CHADEMA WATAGAWANA KURA.

Lakini pia chadema ina wakati mgumu sana kukubalika maeneo ya kigogo,mwananyamala, magomeni na tandale kutokana na maeneo haya cuf inakubalika na ipo muda mrefu sana tangu 1995 chama kimejijenga sana .

Hivyo wanaoamini chadema itashinda wanajisumbua bure lakini pia cuf pia haiwezi kushinda kinondoni kwa sababu ya kata za kinondoni na kijitonyama chadema inakubalika .

Hivyo wanaoneza propaganda chadema itashinda wanajidanganya na cuf kama itashinda wanajidanganya pia

Ccm ameshashinda mapema
Chukua kiti ukae utaona maajabu
 
Timu B na A zinatakiwa kupambana. Ikiwa Refa, Washika vibendera, na Kamisaa na walinzi wote wanatoka timu B. Je unategemea Timu A kuwa mshindi ???
 
Maeneo ya kinondoni ni CUF Lipumba CUF seif iko TEMEKe
Nilijua tu utakuja na comment kama hii maana huna utofauti na zuzu. Hata mwana ccm mwenye akili timamu hatampigia mgombea wa ccm kura kwa mchezo huu mliyofanya. Halafu hapo kinondoni kuna wana ccm, wana cuf na wana cdm, lakini pia wako RAIA wengi wasiyo na vyama huko. Kumbuka wako watu wengi pia wanaolalamikia vyuma kukaza, waliofukuzwa kazi kwa vyeti feki, kinondoni wako watu wenye chuki na ccm au serikali kutokana na sababu moja au nyingine. Sasa mwenye akili angezingatia mambo haya kwa upana wake.
 
CUF NI MOJA TUU KIONGOZI
HAKUNA YA LIPUMBA WALA SEIF

KURA ZINAPOPIGWA HAKUNA SEHEMU ILIYOANDIKWA CUF MAALIM WALA CUF LIPUMBA

NDO MAANA TUKIRUDI KATIKA UCHAGUZI WA SEGEREA MTATIRO NA ANSTROPIA WALIGAWANA KURA .
Nyie ndiyo mnazungunzia uchaguzi wa 2015 utadhani wakati huo kulikuwa na mgogoro huu wa CUF au wewe unaishi wapi mkuu? Wakati ule huyu le professeri alikuwa anakula bats Rwanda ikabaki UKAWA - CUF ikiwa chini ya maalim Kwahiyo hakukuwa na mgogoro wowote.
 
Uchaguzi una walakini kubwa sana.

Kwanza tujiulize kisa cha mbunge msaliti kujiamini zaidi, alitema ubunge na akagombea ubunge huo huo kwa kivuli cha CCM tena kwa mbwebwe bila kuwa na aibu yamatumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.

Pili ni kawaida ya CCM kushindanisha wagombea kupitia CCM,lakini mheshimiwa huyu hakushindanishwa wala hakupita bila kupingwa,ila AMETEULIWA na CCM.
Ni wazi atakuwa ameishateuliwa pia kuwa ndio mshindi wa jimbo la Kinondoni.

Tatu wapinzani nao wamegawanyika,CUF Lipumba sio CUF Maalim.Ni wazi CUF Maalim watampigia mgombea wa Chadema kama ishara ya mpasuko wa CUF.

Chadema nao kumteua mzanzibari na kuwaacha raia wa bara wakazi wa Kinondoni ni mushkheli utawagarimu.

Pole wana Kinondoni kwenye vita hivi mmegeuzwa nyasi.
 
Chadema wameamua kumtumia salum mwaimu kama sababu ya wao kushindwa
 
C Programming Kwani yale ombi au madai yao ya kukutana na tume ya uchaguzi yametekelezeka. Sisi wapiga kura tuna hamu kujua kama sasa tume ya uchaguzi imekuwa huru.

Au ndo imekuwa huru KILIMANJARO (SIHA) na Dar (Kinondoni) tu?
 
Back
Top Bottom