WCB kwanini wanamtenga sana Richmavoko?

Rich mavoko anajua zaidi ya diamond, wanaogopa kumpa sana promo kuwa atakuwa na hit nyimbi zaidi ya boss, kina mda diamond aliaanza kutoka katika tune take akaanza muiga rich mavoko
 
Rich mavoko anajua zaidi ya diamond, wanaogopa kumpa sana promo kuwa atakuwa na hit nyimbi zaidi ya boss, kina mda diamond aliaanza kutoka katika tune take akaanza muiga rich mavoko
Eti eeh! Mda gani, Daimondi alimkopy mavoco?
 
Rich mavoko anajua zaidi ya diamond, wanaogopa kumpa sana promo kuwa atakuwa na hit nyimbi zaidi ya boss, kina mda diamond aliaanza kutoka katika tune take akaanza muiga rich mavoko
Mkataba wa Rich Mavoko na WCB ukoje!? Tuanzie hapo kwanza, PILI.. Msanii chini ya WCB kama akifanya vizuri basi hata WCB wao wananufaika kwa hilo iweje sasa wamsaign then wammbanie wakati kila kitu kinafanywa chini ya label... Sidhani kama WCB wanaweza kuwa na mtu kama Rich Mavoko alafu awe mzigo kwao.. Diamond mwenyewe anamkubali sana Mavoko hadi anamwita Lionel Messi wa Bongo freva. It's just the matter of program under WCB and himself over social networks
 
Na ukisema lavalava anatengwa we ni mwongo.
Katika msanii aliyepewa na kuchat na fans zake you tube ni lavalava pekee yake ndiye aliyepewa chance WCB nzima.
Kumbuka hiki kipindi lavalava ndiye anayetoa ngoma kwa kasi Wcb nzima katoa goma inaitwa [HASHTAG]#Kilio[/HASHTAG] na Juzi tu katoa ngoma mpya inaitwa [HASHTAG]#Utatulia[/HASHTAG].
a3a129dcb9f9bdb31b972b4147c32e44.jpg

Mkisema pale Wcb mtu/msanii fulani anatengwa wewe ni mnafiki hufuatilii tu.
Msiwe kama waandishi wa habari mkaifanya punje ya mtama mnaikubwisha kuwa kama tembo wakati kihalisia siyo.
 
Hizo tiki hatoi daimond bana,,
Kuna watu insta wana followe laki tu lakin wana tiki,,sijajua ni vigezo vipi wanatumia
Hiyo insta waniotoa kwa mmiliki wa account baada ya kujiridhisha ni Public fugure, Artist na brand fulani kama authenticity.

Richard sio mtu wa social networks na ni moja ya sababu za kupewa..

-uwe umelink accounts zako FB twitter Insta.
-uwe unaweka viambatanisho kuonyesha mwenye account ni wewe.
-uwe una taja,tajwa/tag watu maarufu waliokwisha wekewa hiyo badge... na mengineo..

Sasa Richard atakuwa haya hayafanyi.
 
Hizo tiki hatoi daimond bana,,
Kuna watu insta wana followe laki tu lakin wana tiki,,sijajua ni vigezo vipi wanatumia
Can I request a verified badge for my profile?
Right now, only some public figures, celebrities and brands have verified badges. It's not currently possible to request or purchase a verified badge.

If your account doesn't have a verified badge, there are other ways to help let people know that you're authentic. For example, you can link to your Instagram profile from your official website, Facebook page or Twitter account.
 
kutengwaje? mbona kama unakuwa sio mfuatiliaji wa mambo? c juzi tu hapa mwaka mpya alikuwa kenya anapiga show? au ulitaka kila wakati agandane na diamond kama zari ndo uone hatengwi?
 
Namkubali sana Rich mavoko.... Anakila sifa ya kuwa msanii... jamaa haishi kwa kiki... mziki wake ndio unamuweka hewani tofauti na wana wcb wengine... He's real Gentlemen.....kama wizkid
...ulikuwa unaenda vizuri tu na kiswahili,
..umetia ?'kidhungu' umeharisha.!!
 
Shughuli zipi kwa mfano ambazo WCB wengine wote huwa wanaenda except Rich Mavoko?!

Hivi suala la Instagram Account kuwa verified nayo ni hoja ya kusema mtu anatengwa?! Verifier ni Instagram wenyewe, sasa huko kutengwa kunaingiaje?!
 
Rich mavoko anajua zaidi ya diamond, wanaogopa kumpa sana promo kuwa atakuwa na hit nyimbi zaidi ya boss, kina mda diamond aliaanza kutoka katika tune take akaanza muiga rich mavoko
Kama ndivyo, kwanini walimchukua in the first place? Btw, hiyo promo unayoisema ni promo ya aina gani? Btw, unaweza kutoa mfano wa wimbo ambao Diamond alimwiga tune Mavoko?

Anyway, inafahamika Mavoko mwenyewe hawezi kuwasikiliza watu kama nyinyi ambao wakati anaelekea kupotea hamkufanya chochote!!
 
Back
Top Bottom