Na Saleh Ally
NARUDI nyuma kidogo, nataka kukumbusha namna ambavyo niliwahi kuandika kuhusiana na namna ambavyo mwanamuziki Nasibu Abdul, maarufu kama Diamond, kwamba ameanza kukosea vitu kadhaa, hasa kuiga video za wasanii wengine.
Nilieleza kwa mifano ya picha namna ambavyo Diamond aliiga...