HARMORAPA vs WEMA raha sana

perfect_rahym

Member
Mar 27, 2017
41
45
Alichojibu Harmorapa baada ya Wema Sepetu kumtolea nje ombi lake

Perfect rahym TZA

Siku kadhaa zilizopita staa wa Bongo Fleva Harmorapa aliweka wazi kumzimia staa wa Bongo movies Wema Sepetu baada ya kudai anaweza kumgharamia kwa kila kitu na baadaye April 5 2017 Wema Sepetu kupitia Instagram alimtaka Harmorapa aache kujinadi na asiiharibu image yake.

Sasa leo April 7 2017 baada ya kumfikia ujumbe kutoka kwa Wema Sepetuakionywa kuhusu wazo lake hilo,Harmorapa ameongea namillardayo.com na AyoTV Entertainment alivyoupokea ujumbe huo.

>>”Unajua kwamba hata unapotongoza ama unapoomba kitu kuna mawili; kuna kukubalika na kukataliwa. Kwa hiyo yeye alichokiongea tayari kishaongea. Kwa hiyo haina haja sana kulijadili kwa sababu ameshaongea.” – Harmorapa.
 
Kwa jibu hili la harmorapa inathibitisha ile page ya instagram ni yake,page inaandika mambo mengi ya kipuuzi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom