perfect_rahym
Member
- Mar 27, 2017
- 41
- 45
"eti KILA MWANAUME ALIYEFANIKIWA NYUMA YAKE KUNA MWANAMKE SHUPAVU". Hii ni kauli inayolenga kupotosha jamii, haina ukweli wowote kwa karne hii ya 21 iliyojaa wanawake wanaowaza kuwa na waume waliofanikiwa kuliko mafanikio yao binafsi na kuwawezesha waume zao kufanikiwa . Naomba muipinge na kuipuuza kwa nguvu zote, jopo la wazee wa karne ya 21 bado linaendelea na utaratibu wa kupata kauli itakayokuwa mbadala wake na mara mchakato utakapokamilika tutawajuza na tutaanza rasmi kuitumia kauli hiyo.
By perfect
By perfect