SEHEMU ZA SIRI!!

perfect_rahym

Member
Mar 27, 2017
41
45
perfect_rahym_TZA

Kama umeshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 10 huwezi kukiita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI
Bali ni mali ya UMMA chini ya wizara ya utalii na burudani
Kama ni zaidi ya watu 25 basi ni Mali ya UMOJA WA MATAIFA kitengo cha msaada

Halahala ndugu kama ni zaidi ya watu 50 unastahili kuitishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya neno SEHEMU ZA SIRI

Ahsanteniiiii
 
Kumbe
 
kumbuka hata sehemu unayoficha pesa zako (safe room) ni sehemu za siri..
 
Kwa hizi texts za WhatsApp zinazoletwa JF, bora simu ziendelee kukatazwa mashuleni.
 
Ahaaa kumbe yangu ya siri...poleni ambao imekuwa PLC company ...soon mtangaze ununuzi wa hisa..
 
Back
Top Bottom