Recent content by perfect 12

  1. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Rais wetu anazindua ukuta wa Mirerani, Kazi za mawaziri ni nini? Kwani kuzindua ni lazima?

    Aangalie Vya kufanywa kwa hadhi yake sio vidogo vidogo
  2. perfect 12

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo singida Nije Mwanza ,idara msingi
  3. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Duuuu ,majitu humu yananyoika hatari ,jamaaa labda nae alitaka apite na 100 kakuta mchepuko unasachi samaki bwawani ndo maana imemuuma
  4. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

    Unasifia sura we kuku kweli mwanaume kz
  5. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    Hahahaha utakoma c unaokotaokota na mitamaaa yako iyo
  6. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Asante Azam kwa kuifunga Simba

    1.3 billion mlosajili ni bureeee kbs mnasajil majina na sio uwezo mkiona mchezaji amecheza MECHI moja vzr mnamtolea macho ,pambaneni na hali zenu koko nyie
  7. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018,

    Link ipi sasa mbn hatuoni na vyombo vipo kimya
  8. perfect 12

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kona ya kubadilishana vituo Vya kazi mkoa, wilaya Njooo mwalimu unasubiri nn muda haukungoji weka namba yako hapa upate mawasiliano Kwa urahisi
  9. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

    Huyu sasa kaahakongoroka kila kona mtu kaamua kutoa nuksi
  10. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Nimestaajabishwa na uteuzi wa Profesa Luoga

    Lipumba nae nafasi Hiyo inamuuma alijua atapewa zawadi ya ushindi ,kumbe mkuu hajamuweka kbs akilini mwake,Unajua nn ukitumiwa ktk ishu fln ovu jua huyo mtu hatakuamin tena kwa SBB kakujaribu ukajaribika vzr Cna,pole Lipumba kwa ndoto zako mfu.
  11. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Duuu we tulia tuuu msaada na haki hutaipata ,tibu majeraha na uchape kazi sawa mwananchi huru
  12. perfect 12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

    Hi
  13. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

    Mchepuko Unajua kutoa vzr xn kuliko mkeo
  14. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Am sick and tired, mchumba wangu hataki kuniona

    Huyo c wako kashadandiwa na wanaume.
  15. perfect 12

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mambo
Back
Top Bottom