Am sick and tired, mchumba wangu hataki kuniona

Am sick and tired, mchumba wangu hataki kuniona

kaka kitu unachokiongelea nakifahamu sana ni kwamba katika relation hii nikibroke victim atakuwa ni yeye am type of man naweza pata mtu ninae mtaka the problem ni kwamba mama ake anapofaliki alinihusia nisije kumuacha niwe nae untill the end
Huo uchawi sasa mkuu
 
Kashakutana na mtu wa Dar ananyonya qummer kama wewe unavyonyonya maembe sindano.
Jiongeze
 
mimi ni mwanaume dar nimekuja kusoma nimemtaarifu ila tangu nimwambia nakuja tXt zangu anajibu mkato mara anapika mara hajibu
Mwanamke gani atapenda kudate na mwanafunzi tena anayetegemea mkopo wa HESLB? Acha masikhara, wacha wenzio wale kwanza; atakutafuta akifika 30s.
 
Aiseee pole broo but dont be that silly (sorry for that). Mama yake kakuhusia? so what?? Mtu yupo Dar anaukalia huko wewe eti mama yake kanihusia. Who are you to care for her mother the way she even does not. Achana nae wewe nyie wadau namna gani???
 
Ivi kwann mnapenda sana kuruhusu external forces ziwaumize ?????

Mimi huwa naumia na kitu nilichokifanya Mimi nasio alichokifanya MTU.

Mkuuu au huna uhakika kama unaweza kumpata mwanamke mwingine ???? Unamiezi ,, unamtafuta lkn hataki kukuona ,,huoni km kuna kitu anajua utakigundua siku mkimiti ?????? Huyo anamimba hamna kingine.

Piga chini ,,Dar wanawake niwengi sana labda ushindwe wewe tu.
Nimejiuliza sana inawezekanaje mwanamke amkwepe??Aachane nae tu
 
Guys wa humu ndani, naomba wazo lako tu,

Ni miaka mitano sasa tangu nilipompata mwenzangu kwa kuanza nae maisha (mchumba) kipindi hicho nakaa nae pamoja lakini gafla akahama mkoa na kwenda DSM hiyo haikuwa changamoto sana kwani tuliendele kuongea kupitia mawasiliano, lakini cha ajabu nina miezi mingi mjini Dsm tangu nije hataki kuniona.

Ushauri wenu nauhitaji
Umeshawahi kula mzigo??labda tuanzie hapo
 
Guys wa humu ndani, naomba wazo lako tu,

Ni miaka mitano sasa tangu nilipompata mwenzangu kwa kuanza nae maisha (mchumba) kipindi hicho nakaa nae pamoja lakini gafla akahama mkoa na kwenda DSM hiyo haikuwa changamoto sana kwani tuliendele kuongea kupitia mawasiliano, lakini cha ajabu nina miezi mingi mjini Dsm tangu nije hataki kuniona.

Ushauri wenu nauhitaji
chezea watoto wa kike wana akili sana huyo amekuzidi kete, hata hivyo alianza kukuzidi kete ukiwa naye macho huku na kule maneno anayokwambia unaamini kabisa kumbe lol shetani mkubwa sana, wala usiwaze komaa na maisha yako fanya yako usipoteze muda wako kuyafikiria hayo
 
Unapomwambia muonane kaka andaa mazingira tuma hela ya nauli akufate ulipo sio tuonane kavukavu !!!!
 
mimi ni mwanaume dar nimekuja kusoma nimemtaarifu ila tangu nimwambia nakuja tXt zangu anajibu mkato mara anapika mara hajibu
Pole sana fanya shughuli zako huyo ameshapata mwanaume acha kupoteza muda wako...
pole sana....
 
kaka kitu unachokiongelea nakifahamu sana ni kwamba katika relation hii nikibroke victim atakuwa ni yeye am type of man naweza pata mtu ninae mtaka the problem ni kwamba mama ake anapofaliki alinihusia nisije kumuacha niwe nae untill the end
Usiruhusu watu wakuchagulie njia yako

Take ur way br
 
Kaka tunapenda pale tunapoona tunastahili.

Bila shaka hata mbingu HAZIWEZI KUKULAINI UTAKAPOMUACHA.

ufanye nini ???? Kwake hupajui ???? Nabado hataki mkutane ,,wat next ????? Yaaan ujiendeleze tuuu kujipigisha simu na vimeseji alafu hujibiwi ..ukijibiwa nimkato ????

Kaka unaona hiii nikawaida ????? Inamaana naww unaruhus kuumia sababu tu mama ( R.I.P mama ) alikusisitiza uwe naye ????? Sawa hutaki kumuacha ,,,lkn utafanya nn km Binti mwenyewe ndo kagoma ??? Au unahisi anakupima ???

Bro changamsha bongo yako...kama kweli unampenda Acha kumpigia siku wala kumtafuta mpaka pale atakapoona vema mwenyewe akutafute KINYUME nahapo naaona kama unatafuta magonjwa ya presha ,,mawazo na vidonda tumbo.

ALAFU AMINI NAKUAMBIA THE MORE UNAVYO COMPLAIN NA KUMBEMBELEZA NDIVO NAYEYE ANAVYOKUPUUZIA NANDIVYO NAWW UTAZIDI KUPAGAWA NAMWISHO UTASHINDWA KUFANIKISHA KILICHOKULETA DAR.

AMINI AMINI NAKUAMBIA ,KOKOLIKO MLANGO WACHUMA UKIIFUNGUA HAUNA HURUMA.[emoji119]
Hahahahahah...Mzee umeuuua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom