Nadhan sasa n Bora zaid kutawaliwa na mkoloni KULIKO hawa
CCM n janga linalovuka mipaka tambueni hao mnaowabambikia kesi n watoto wetu majiran zetu wnafunz wetu marafiki zetu pia
Hvyo kila mmoja anaguswa.hapo juu maana yake chuki hii inasambaa taratibu kwa Kila mtu
Viongoz wenu tena wa kata...
Hii nchi mtu akipata teuz bas anaona wale walio nje ya mfumo n mafala TU hawana kitu
Amesahau kampen za 2025 chama chake kilichangisha pesa kwa ajil ya uchaguz na WATU wakachanga lakn hakutoka kuwabeza wachangiaji
Leo chadema wanachangishana anatoka na kuwaona wanaochanga mafala wajinga na...
Kiukwel naona kabisa mabos pale viunga vya Chamaz wamechafukwa sana sio kwa sajili hizi tunazoziona
Wana kocha MZURI mwenye uzoefu wa kutosha na soka la vilabu AFRIKA hii amefundisha timu kubwa ukanda.wa UNAF
Mwaka wa kwanza ulijifinza tamadun la soka la kitanzania sasa msimu huu tuna den nawe...
Kwanza waongeze idadi ya watu Toka 50 had 200 kwa siku
Pili waweke mfumo MZURI hata wa kuwa na afisa agawe kad maalum zenye finger print ili kuzuia mtu mmoja.kuhodh kad NYINGI
Bongo kila mtu mpigaji
NCCR.MAGEUZI n kama lipuli ya iringa kwa.sasa
ADA TADEA..ni kama majimaji ya songea
Lakn CCM wanataka kuonesha kuwa hivi vyama vingine vinanguvu sawa na chadema
Swali n Moja TU kama. CHADEMA hawataki maridhiano so waridhiane na ADA TADEA SAU UPDP TLP
mbona hawaridhiani ?
Vijana wengi huwa wanakurupuka.kusomea vitu ambavyo baadaye huwaletea shida kwakukosa ufahamu
Mfano unasomea CO (clinical officer) lengo lako kuwa daktar baade
Lazma uangalie vigezo vya udaktar vipoje hapo baadaye utakapotaka kusomea
Ishi kwa malengo ya mbele lazma ujue na kwa sasa vigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.