Recent content by pentzel

  1. pentzel

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    bora umesema mkuu kuna watu wanapenda sana njia ya mkato saiz unaanza kuhangaika baba kantuma kama ungeandika barua na ungefanyiwa usaili ungepungukiwa kitu gani tujifunze kubadilika hizi ni dhama ziningine tusiishi kwa mazoea
  2. pentzel

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba madirector wa WCB wamekosa kabisa ubunifu?

    ukisema ukweli unaonekana we ni mbaya
  3. pentzel

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wachungaji matajiri duniani

    wamadhabauni watakula vya madhabauni
  4. pentzel

    JamiiForums Tanzania Picha: Jay Z.. ..

    kuna kitu anakitafuta kwa trump atakipata tu anafikiri ni wakati wa kampeni huu
  5. pentzel

    JamiiForums Tanzania Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

    uache ubishi unabeti mpaka hapo
  6. pentzel

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    0658860442 niadd mkuu
  7. pentzel

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    wa jkt mafinga tujuane kama vipi
  8. pentzel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    kaz imeisha jaman mliokuwa mnataka kuhama fanyeni ivo
  9. pentzel

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na utabiri wa TB Joshua kuhusu ushindi wa Clinton, maana mambo ni tofauti

    kondoo gani unaowazungumzia mkuu kama ni binadamu watakuwa washaanza kujitoa
  10. pentzel

    JamiiForums Tanzania Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    hama bwana mbona bado upo?
  11. pentzel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    usiwaze uchaguzi utaludiwa kibibi kitashinda
  12. pentzel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    hii sio uefa mkuu
  13. pentzel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    haiwezekani utuchagulie watu rangi ya kijani halafu uhame nchi
  14. pentzel

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    kudakuliwa kawaida lazima uwe na moyo wa chuma mkuu ila mruhusu akasome
Back
Top Bottom