2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Wanaziita electoral votes kutoka states mbali mbali. Na hizo zinatolewa kwa kufuata population ya states ingawaje kumewahi kuwa na malalamiko baadhi ya states ambazo hazina population kubwa lakini zina electoral votes nyingi ila malalamiko hayakufika kokote.
Asante kwa ufafanuzi mkuu, mi mwenyewe nlijua ni majimbo, uko vizur.
 
Hadi sasa Clinton kabwagwa, subirinu confirmation. Inanikumbusha Bush vs Kerry. Lots of celebrities walijitokeza kumsapoti Kerry mwishowe akashindwa. Anyway Trump will be the worst president there ever was
 
Kuna counter attack... Itatokea muda si mrefu.. Sisi wapenda mpira wa miguu tunasemaga hivyo... Subirini muone.....
Hata arsenal aliongozaga msimu mzima lakn akaja kushushwa mwishoni so sishangai hii
 
IMG_20161109_063731.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Jamaa wamwache ashinde tu, maana hamna namna....!!!
 
Back
Top Bottom