Recent content by pelius laurent

  1. pelius laurent

    eFootball Special Thread

    Wakubwa na mimi eFootball ishaniteka bhna 😅 hivi hmna namna ya kufanya ili ukiwa unaubonda na mtu simu ikipigwa isikatishe game lako au mpaka Wifi tu
  2. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwamba huu uzi aliuanzisha kimasihara sana yani, sema kongole sana kwake🙌🙌
  3. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huu uzi siku hizi umepunguza REPLIES kwa sababu sijui bado jamiiforum imefungiwa bado? Japokua zuio lishaisha muda wake, ingekua kabla ya kufungiwa ungeshajibiwa zamani sana, labda kuwa na subira wadau watakuja japo kwa kuchelewa😔
  4. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😅😅Ndo tunawalinda kaka hiyo haiwezekani
  5. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😅😅😅🛐Bado swala haziishi japo zimebadilika sasa hivi kaka
  6. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakongwe kazini, kaka hujalambaga asali tu
  7. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂 Hongera mkuu, popote kambi
  8. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kaka kuwa muelewa basi mfano hapo hawa ni wa afya mkoa wa Kilimanjaro lakini humo humo wamechanganya wahasibu n.k
  9. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye mapdf ya afya msidhani wote wale ni afya, muwe mnafatilia wale jamaa ni wahasibu lakini wamechanganywa kwenye pdf za afya, kwakua nilikua nimeshaathilika na kuangalia pdf ndo nikawa napitia pitia na kuwaona, na mmojawapo bila mimi sidhani kama angeona pdf maana hata sehemu ya kuangalizia...
  10. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwani juzi si ndo ilikua tarehe tano?🤔
  11. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kabla ya kazi, kuna kozi miezi sita mzee baba😂Mtoto kautaka, nimeutaka kweli dadeq
  12. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tunasubili kupigiwa simu mkuu
  13. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Database inafanya kazi, kuna jamaa nilifanya nao usaili TANAPA hawakuitwa kazini, lakini juzi wamepangiwa sehemu nyingine wakiwa wameshakata tamaa🤗Tuzidi kupambana wazee na tusiache kuhudhuria usaili
  14. pelius laurent

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi Arusha ni duka gani wanauza nguo za michezo
Back
Top Bottom