HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
KwaHyo anaweza omba uku tukisubiria deedpoll au Chet kipya cha kuzaliwa
 
Muonekano mzuri sana huu 🔥
Huu muonekano naupa 9/10

Ila sijapenda kwenye kipengele cha vacancies mana unaona kazi zote mpaka zile ambazo hazikuhusu, wakati kwenye ule muonekano wa zamani unaweza kwenda kwenye category inayokuhusu moja kwa moja.

Sasa hii Usipokuwa makini unaweza kupishana na post inayokuhusu
 
Mbaga Jr iyo hapo kaka sijawai ingia oral mimi
 

Attachments

  • Screenshot_20250815-124031_Chrome.jpg
    Screenshot_20250815-124031_Chrome.jpg
    292.7 KB · Views: 38
Back
Top Bottom