HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Majina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..
duh! pole sana
 
Kanuni za utumishi haziruhusu:
1 Mtu kuomba kwenda kusoma kabla ya: 1. Kthibitishwa kazini 2. kumtumikia mwajiri kwa angalau miaka miwili. Kinyume cha hapo ni harufu ya rushwa!! HR anaweza kukuruhusu kwa udanganyifu wa aidha likizo ya ugonjwa na ukawa na vyeti vya ugonjwa vya kununua!!
Njia sahihi iliyonyooka ni kuahirisha masomo!!! Hiyo inakubalika.
Shukrani nimekuelewa mkuu
 
Majina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..
Piga NIDA chini, tafuta barua ya mwenyekiti wa mtaa uwe unaenda nayo
 
Database inafanya kazi, kuna jamaa nilifanya nao usaili TANAPA hawakuitwa kazini, lakini juzi wamepangiwa sehemu nyingine wakiwa wameshakata tamaa🤗Tuzidi kupambana wazee na tusiache kuhudhuria usaili
Tanapa imesomba sanaa watu .....
Toka mwaka jana walichukua watu toka 2022 na Inazihirisha kabisa toka Kauli yaMwenyekiti wa board Tanapa( Mabeyo)kauli aliyotoa kwa vijana inaonekana....Kigugumizi kipo kwenye Taasisi nyingine hizo(wana weka watoto wao kwa mgongo wa wanajitolea) kuona Tangazo la ajira baada ya miaka 2 hapo changamoto ipo database.
Mwisho
Utumishi waondoe kikomo cha Database ....
 
Database inafanya kazi, kuna jamaa nilifanya nao usaili TANAPA hawakuitwa kazini, lakini juzi wamepangiwa sehemu nyingine wakiwa wameshakata tamaa🤗Tuzidi kupambana wazee na tusiache kuhudhuria usaili
juzi mbona hamna pdf wamepangiwa vipi walipigiwa simu au
 
Attachments

  • Screenshot_20241107-103541~2.jpg
    Screenshot_20241107-103541~2.jpg
    48.4 KB · Views: 34
Back
Top Bottom