HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa kweli nashindwa nijibuje maana hata namna ya kujua kama upo database au laah bado ni Siri Yao utumishi ..

Hivyo unaweza kuamini vile utakavyoamini japo taarifa niliyoiandika hapo bado ni mtazamo wangu siyo kwamba ndiyo sahihi kuwa P.D.F zimeisha
Dahh inasikitisha unakaa mwaka mzima kusubiri kuitwa afu hola!🥺
 
Wazoefu wa PSRS , hivi ukiachan na vyeti vya kitaaluma kwenye kuripoti kitu gan kingne kinahitajika kuwa nacho cha muhimu
 
Wajuzi wa interview za utumishi naomba kufahamu usaili utakaofanyikia St.joseph university in Tanzania (SJUIT) LAB UB-7 ni campus gani kwa hapa dar?...Engineering campus au health campus?
 
Wakuu hakuna anayefahamu?
Huu uzi siku hizi umepunguza REPLIES kwa sababu sijui bado jamiiforum imefungiwa bado? Japokua zuio lishaisha muda wake, ingekua kabla ya kufungiwa ungeshajibiwa zamani sana, labda kuwa na subira wadau watakuja japo kwa kuchelewa😔
 
A1DC1EEA-58A1-405B-AF5C-F60C506C1336.jpeg
 
Back
Top Bottom