mr mkwawa
Senior Member
- Jul 29, 2018
- 146
- 295
Mk sijakuelewa hoja yako hapaTanapa imesomba sanaa watu .....
Toka mwaka jana walichukua watu toka 2022 na Inazihirisha kabisa toka Kauli yaMwenyekiti wa board Tanapa( Mabeyo)kauli aliyotoa kwa vijana inaonekana....Kigugumizi kipo kwenye Taasisi nyingine hizo(wana weka watoto wao kwa mgongo wa wanajitolea) kuona Tangazo la ajira baada ya miaka 2 hapo changamoto ipo database.
Mwisho
Utumishi waondoe kikomo cha Database ....