Watu wanajuaje kama wako database?Haionyeshi chochote
Hongera kwa kulamba asali ukawe mtumishi muadilifuAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Shukran sana mkuu uadilifu nitautanguliza mbeleHongera kwa kulamba asali ukawe mtumishi muadilifu
Huwezi kujua, ila walitoa taarifa kuwa Soon utajua upo database.Watu wanajuaje kama wako database?
Hongera mkuuuAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Hongera sana tena sanaAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Kuna received ina mwaka mmoja na mwezi mmojaKwakua kukaa data base ni mwaka mmoja na pia tunaomba na received nazo ziwe na kipindi maalumu sio unakaa miezi zaidi ya sita au mwaka ukisubili waite intavyuu
Mimi ndo nakwambia kuna jamaa yangu kachukuliwa kwenye data base kwenda trc mwezi wa sabaHao ni technicians si Engineers
Yaani upande wa Engineering hasa Engineers aisee ni miyeyusho sana utumishi
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Bro naomba vocha ya jero nilipe deni hapa.Ya kazi gani sasa namba yako Mkuu? Hahah! Kuafford?!!
Ila acha nikupe ushindi siwezi kuafford sina lolote.
Walofanya written wakafaulu ndo hao watakaofanya Practical InterviewWakuu naomba kuuliza. Ukifanya written interview, je kama kuna practical wana shortlist majina au wote waliofanya written wanafanya practical?
Upo sahihi sana, lakini ulipaswa kuongezea kuwa wizara ya afya ina ngazi tofauti ya hospitali na pia ina taasisi na mamlaka zilizo chini yake.Mishahara ya watumishi wa afya walioko serikali kuu (wizara ya afya) na serikali za mitaa (TAMISEMI) zinalingana.
mtu unaweza ukang'ata simu 🤣 🤣 🤣Yaani hawa Kenge utumishi ,wamekuwa ni waalimu na manesi tu kila siku vipisi vipisi vya pdf ,bora wangewabakisha huko huko Tamisemi
Wanashindwa nini kutoa pdf moja na be done with it ,kuliko huu upuuzi wa kukata vipande visivyo na maana
we mzee wa swalaHivi Arusha ni duka gani wanauza nguo za michezo