Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,193
- 5,241
Hongera mkuuEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
Hongera mkuuEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
Hongera sana Chief.Eeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
AsanteKwa experience yangu vyuoni ni kuandika sio kwenye mfumo
ni nzuri sana hiyo post hao jamaa wanafiti,imebidi nichungulie content ya programme kwenye tovuti ya IFM,nikakubali kwamba wanastahilit,Uzuri ni kwamba bado haijasambaa vyuo vingi mpaka sasa kama ilivyo accountancy na zinginezoBasi ni unyama sana huo, itakuwa rahisi kutekeleza majukumu yao
Hahahahaha mkuu pole sana na hongera kwa hatua hii bila shaka umejifunza kitu kila hatua ni muhimu kwenye maisha!Nlikandwa kaka na kihereheere changu kujifanya mtelecomunist😂😂wacha nisubir zinazonihusu asee
Utumishi wakishakukanda lazima ukate tamaa kwanza aiseee mpaka watokee washauriKuna jamaa humu alifanya maamuzi kama wewe baada ya kukandwa, watu walimpa moyo akaomba tena akalamba asali
Hongera sana Mungu ni mwema sanaEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
😂😂 Hongera mkuu, popote kambiAsante Sana utumishi mmetoa jina langu japo sio sehemu niliyotaka.Nitajifunza kupazoea.
Hongera mkuuAsante Sana utumishi mmetoa jina langu japo sio sehemu niliyotaka.Nitajifunza kupazoea.
Asante.Hongera mkuu
Asante[emoji23][emoji23] Hongera mkuu, popote kambi
Nshakandwa vya kutosha sikukoma ad nikafikia hatua ya kwenda oral😂,na siwezi kukoma Shenzi adi niwakandekandeHahahahaha mkuu pole sana na hongera kwa hatua hii bila shaka umejifunza kitu kila hatua ni muhimu kwenye maisha!
Utumishi wanajua kukanda ukiwa ujakutana nao uwezi elewa aisee….
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAsante Sana utumishi mmetoa jina langu japo sio sehemu niliyotaka.Nitajifunza kupazoea.
Good! 💯 One day yes.Nshakandwa vya kutosha sikukoma ad nikafikia hatua ya kwenda oral😂,na siwezi kukoma Shenzi adi niwakandekande
Huo usaili mnafanya lini? Na ni tutorial assistance wa chua gani mkuu?Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
Yap maana kuna Institute 3.5 wanachukuaHuo usaili mnafanya lini? Na ni tutorial assistance wa chua gani mkuu?