Recent content by Peaceful Warrior

  1. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Sheria ipo wazi soma S.67 Tax Administration Act
  2. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Kuhojiwa ni utaratibu wako sio wa sheria
  3. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, nina Tsh. Milioni 30. Nifanye biashara gani?

    Nitafute mkuu nikupeleke bar yenye mademu wakali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________
  5. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mwenzangu ananiroga

    Mchungaji wako mpiga ramli? Anatumia ndumba si bure Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Kwanini hawa NEW ID wanapenda sana kutafuta wapenzi. Wanataka kumtpeli mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Serikali yakabidhi bil.137 kwa mikoa nane kutekeleza miradi ya kimkakati

    Mtoa mada unazijua wewe shilingi za kitanzania bilioni 137,377,756,698 ni sawa na shilingi ngapi? Ebu darasani ukajifunze hesabu tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Finance and Accounting

    Accounting is better than finance...
  9. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo ya kigamboni , geza na mwongozo kiwe jirani na barabara

    Na mimi nahitaji maeneo hayo nina kama 5M
  10. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Kila kona duniani wanaandamana na kuchoma Bendera za USA

    Mwacheni tu aangaike ipo siku tu ataingia kwenye 18 za TZ ndo ataisoma namba, Magu anamtamani kishenzi hamnyooshe.
  11. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Niashara matangazo picha basi na Dar sehemu gani
  12. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Viwanja kigamboni kwenye showrooms za magari

    Vipo wapi? Huo mradi wa magari sio kila mtu anaujua. Vipo wapi karibu na sehemu gani inayojulikana na watu wengi.
  13. Peaceful Warrior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzalendo: Nasogea Goligota

    Ila waoga huwazika mashujaa
  14. Peaceful Warrior

    JamiiForums Tanzania Swali gani hupendi kuulizwa?

    "Nikuambie kitu baby?" Hilo swali silipendi ata kidogo nikiliulizwa tu nakosa nguvu na napata ugonjwa wa tumbo gafla.
Back
Top Bottom