Kapilipoint
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 381
- 343
Wadau natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo tajwa hapo juu kiwanja hicho kiwe jirani na barabara kuu ukubwa na bei ni muhimu mawasiliano ni .0752334403
Shukrani kwa kushare chief
Viwanja vya kupima vipo chief
Niambie ukubwa unaotaka
Na ofa yako kama hautojali
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Mkuu kipo cha milioni 8 kama utawezaa npgie 0718093225Na mimi nahitaji maeneo hayo nina kama 5M
Kipo kigamboni ipi na kina ukubwa gani?Mkuu kipo cha milioni 8 kama utawezaa npgie 0718093225
Geza sqm 500Kipo kigamboni ipi na kina ukubwa gani?
...Mtafute huyu jamaa anaitwa Yusuf..0713 120 060 yupo geza..ni jirani yangu...!Wadau natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo tajwa hapo juu kiwanja hicho kiwe jirani na barabara kuu ukubwa na bei ni muhimu mawasiliano ni .0752334403
Unahitaji ukubwa upi tafadhaliNa mimi nahitaji maeneo hayo nina kama 5M