Recent content by Paul Kijoka

  1. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Ahsante kwa swali zuri sana na ufafanuzi. Swali hili halina majibu ya moja kwaoja. Kuna makundi mawili yanaweza kukujibu. 1. Wadhanifu (theologians). Wao wanaangalia mchakato mzima kama kuzaliwa ili kutimiza mpango wa Mungu. Kuwa tunamfurahisha Mungu. Kuwa anatuleta duniani na anatuchukua...
  2. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    Katiba Mbovu kama tuliyonayo inamfanya rais afanye matumizi mabaya ya fedha, anaweza kufanya chochote. Usiombe itokee aweuke au awe kichaa, atatumaliza
  3. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    CCM ni genge la wahuni ambalo haliko tayari kutoa madaraka kwa watanzania. Kifupi wametuweka mateka
  4. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Shairi: Usingoje Siku Mia, Yaondoe Haya Lissu

    USINGOJE SIKU MIA 1. Mara utapo apishwa, Rais Tundu wa Lisu, Walaka wa kukumbushwa, na kupa pia na kisu, Siku mia ukipishwa, za kuondoa kukusu, Usingoje Siku Mia, yaondoe haya Lisu. 2.Watu wanaangamia, mifuko imetoboka, Rushwa imetukalia, viongozi wanafoka, Wawekezaji huria, wote wanataabika...
  5. Paul Kijoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Watajiju. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Dar ndio mkoa wenye wanaume waoga zaidi Afrika

    True Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    Hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Ndio hivyo, kila MTU anasomeshwa
  9. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna bahati mbaya sana

    By Mutakyahwa Kijoka Umasikini katika bara LA Africa (hasa kwa nchi yangu ya Tanzania) umejengwa katika vipindi muhimu: utumwa na biashara ya utumwa, Ukoloni kabla ya Uhuru wa bendera na baada ya Uhuru wa bendera. Nitaongelea kidogo utumwa na biashara ya utumwa pamoja na Ukoloni kabla ya...
  10. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Hapa Utajifunza Kitu

    *HII IMENIGUSA by Mutakyahwa Kijoka (FB)* *Kulikuwepo msichana kipofu[emoji41] aliyechukia na kujichoka sana.*[emoji33] *Alimchukia kila mtu isipokuwa mchumba wake. Mara zote alikuwa karibu naye.*[emoji35] *Msicha huyo alimwambia mchumba wake, 'Kama ningebahatika kidogo[emoji6], ningekubali...
  11. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Imekaa njema. Ila dhana ya usaliti ni kukiuka makubaliano ambayo mmeyafanya kwa pamoja yawe mazuri au mabaya.
  12. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Siasa zina mapumziko?

    Karibu ndg zangu
  13. Paul Kijoka

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

    Najua ni long time tangu Uzi huu upite ila mtanikumbuka kwa majibu mazuri
Back
Top Bottom