Recent content by patanoo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Joshua kama mwakinyo tuu

    Ngumi ni akili...ukipigana na mtu mrefu inabidi um bane sana yaani usiwe mbali naye maana ukimwachia nafasi ndio anapata ya kukupa kichapo..luiz alijua hiyo ndio maana luiz alijaribu kumbada Aj sana ndio maana Aj ikabidi muda mwingie anamkwepa luiz asimkaribie kwa kumkimbia
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimesahau password ya simu yangu

    Wewe unataka huyo jamaa atengeneze bomu..haya
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Na wewe umeandika heka nzima ukionyesha uhusiano wako wote na mcc...rubbish
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

    Eti..ile gorofa yako uliyojenga umeweka lift[emoji48][emoji48]
  5. P

    JamiiForums Tanzania Fiesta Ina hali mbaya

    Nadhan amekuelewa
  6. P

    JamiiForums Tanzania Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Itabidi akulipe kwa ushauri wako
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Kwanini Kicheere ana fursa ya kuwa CAG bora kuliko Assad

    Hivi mkuu alikuwa Tanroads kwa miaka mingapi , na kichere alikuwa Tanroads kwa kwa miaka mingapi..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mali za Marehemu Bilionea Erasto Msuya, ndugu ngumi mkononi

    Mimi naona sio rahis mtoto amwache mama yake afie ndani mali zipo, anauchungu na mama yake hata kama anahatia lazma afaiti kumtoa mama yake, hana pesa zaidi ya kuuza mali za baba yake .yeye afanyaje
  9. P

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Bora ufute uzi wako uliopost. Hauna mvuto.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Natumia gari rav4 oldmodel, kuna mlio unaitwa kiduku hasa kwenye magari mengi ya rav4 , mlio huu hutokea pale unapoweka gia kwenye D or R. Hulia mara moja tu. Shida ni nin
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wrong parking agent...usumbufu sana

    Sasa hivi wamekuja na kucheki kama gari yako inamwaga oil wakikuta wanapiga cheni..fain nasikia ni laki 3
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wrong parking agent...usumbufu sana

    Yaani otoke kwenye gari upige picha..hawa watu wasumbufu sana, sioni tatizo lipo wapi ya wao kuweka vibao vya no parking khepusha usumbufu au kuchora ile mistari ionekane
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wrong parking agent...usumbufu sana

    Niende kwenye hoja husika , jaman hawa jamaa wa wrong parking wanasumbu sana hasa kwa hapa Arusha, sijui sheria inasemaje unakuta umepata emejenci unamsubir mtu aje muuondoke gafla wanatokea na kukupiga cheni tena dereva akiwa ndani ya gari..je hi ipo sawa sheria inasemaje. Pil niombe uongoz wa...
Back
Top Bottom