Joshua kama mwakinyo tuu

Aj Katumia wiki 12 kwa ajiri ya maaandalizi ya pambano lakini Luiz Katumia wiki 3 tu kujifua kwa ajiri ya pambano ilo..
AJ kashinda ndiyo lakini kwa mbinde sana.. chichiii chiiii chibonge yuko vizuri sana.
 
Sure kabisa, yani pambano zima anakimbia tu. Joshua anabebwa, akutane na wilder aone atavyochezea KO za kutosha.
Wote hamjui mchezo wa ngumu huko kukimbia kimbia ni moja ya mbinu za ngumi hata Muhammad Alli ilikuwa mbinu yake sina uhakika kama mlikuwa mmezaliwa wakati Muhammad Alli alipopigana na George Foremen May 20 Kinshasa,ngumi sio kama mieleka muda wote mmekumbatiana
 
kama hujui ngumi kaaa kimyaaaa....ile ni mbinu ya kumpunguza nguvu mpinzani na kumfanya awe bored psychologically..sasa anapokua katika state ya kua bored ndipo kipgo cha kushtukiza kinapokuja
 
Ishu sio kujua au kutokujua,mabondia wa skuhiz ujanja mwing,body physiq ya joshua tuu inatosha kusema atampiga Andy kwa KO,kashindwa,akat yeye alipigwa kwa KO,..joshua si mkali kabisa,huwez pigana na kibonge kama yule halaf wew ni nigga na ushindwe kutupa mchezo mzur..kiufup joshua hana tofaut na mwakinyo,..mbona wildet anatupaga raha,na anakutana vidume kwelkwel,..sasa andy si wa kumtoa kijasho vile joshua Period.
Usijifanye unajua saaana akat hujui kitu,sport iwe sport kwel na ladha,si ujanja ujanja
 
Wote hamjui mchezo wa ngumu huko kukimbia kimbia ni moja ya mbinu za ngumi hata Muhammad Alli ilikuwa mbinu yake sina uhakika kama mlikuwa mmezaliwa wakati Muhammad Alli alipopigana na George Foremen May 20 Kinshasa,ngumi sio kama mieleka muda wote mmekumbatiana
Ishu sio kujua au kutokujua,mabondia wa skuhiz ujanja mwing,body physiq ya joshua tuu inatosha kusema atampiga Andy kwa KO,kashindwa,akat yeye alipigwa kwa KO,..joshua si mkali kabisa,huwez pigana na kibonge kama yule halaf wew ni nigga na ushindwe kutupa mchezo mzur..kiufup joshua hana tofaut na mwakinyo,..mbona wildet anatupaga raha,na anakutana vidume kwelkwel,..sasa andy si wa kumtoa kijasho vile joshua Period.
Usijifanye unajua saaana akat hujui kitu,sport iwe sport kwel na ladha,si ujanja ujanja
 
jamani ile sio maigizo kama mieleka, so ni lazima umpige mwenzio kwa akili.
,mabondia wa skuhiz ujanja mwing,body physiq ya joshua tuu inatosha kusema atampiga Andy kwa KO,kashindwa,akat yeye alipigwa kwa KO,..joshua si mkali kabisa,huwez pigana na kibonge kama yule halaf wew ni nigga na ushindwe kutupa mchezo mzur..kiufup joshua hana tofaut na mwakinyo,..mbona wildet anatupaga raha,na anakutana vidume kwelkwel,..sasa andy si wa kumtoa kijasho vile joshua Period.
 
Kwenye boxing kumkimbia mwenzio ni mbinu na sio uoga,
Mtu kama koba kimanga enzi izo ukimsogelea karibu ana kuua,ni fundi wa upper cut na cross,lazma ukaenae mbali,
Chibonge ukikaa nae karibu anakuangusha kila round
 
AJ hajabebwa kashinda kwa point na kiuhalali kabisa, Ruiz ni mfupi, anateleza kama kambale na ni mwepesi wa kuchomoa ngumi ndio advantage alionayo iliomsaidia kumaliza pambano, nna mashaka na kocha wa Joshua sijui kwanini hakuliona hilo mapema AJ alitakiwa kutomkumbatia wala kumsogelea Ruiz ila alitakiwa kutumia urefu wake rusha punch za mbali na kumtembeza sana Ruiz angechoka mapema.
 
Ngumi ni akili...ukipigana na mtu mrefu inabidi um bane sana yaani usiwe mbali naye maana ukimwachia nafasi ndio anapata ya kukupa kichapo..luiz alijua hiyo ndio maana luiz alijaribu kumbada Aj sana ndio maana Aj ikabidi muda mwingie anamkwepa luiz asimkaribie kwa kumkimbia
Wote hamjui mchezo wa ngumu huko kukimbia kimbia ni moja ya mbinu za ngumi hata Muhammad Alli ilikuwa mbinu yake sina uhakika kama mlikuwa mmezaliwa wakati Muhammad Alli alipopigana na George Foremen May 20 Kinshasa,ngumi sio kama mieleka muda wote mmekumbatiana
 
Bongo bhana yaan kila mtu ni judge anajua ngumi 😢 hatuwezi jifunza kwa stahili hii waachieni wenye taaruma zao wafanye kazi zao kha!
 
Ishu sio kujua au kutokujua,mabondia wa skuhiz ujanja mwing,body physiq ya joshua tuu inatosha kusema atampiga Andy kwa KO,kashindwa,akat yeye alipigwa kwa KO,..joshua si mkali kabisa,huwez pigana na kibonge kama yule halaf wew ni nigga na ushindwe kutupa mchezo mzur..kiufup joshua hana tofaut na mwakinyo,..mbona wildet anatupaga raha,na anakutana vidume kwelkwel,..sasa andy si wa kumtoa kijasho vile joshua Period.
Usijifanye unajua saaana akat hujui kitu,sport iwe sport kwel na ladha,si ujanja ujanja
Unaesema hawezi mpaka sasa kashinda kwa KO mapambano 21.
 
Wote hamjui mchezo wa ngumu huko kukimbia kimbia ni moja ya mbinu za ngumi hata Muhammad Alli ilikuwa mbinu yake sina uhakika kama mlikuwa mmezaliwa wakati Muhammad Alli alipopigana na George Foremen May 20 Kinshasa,ngumi sio kama mieleka muda wote mmekumbatiana
Ali alishinda kwa staili hiyohiyo akitokea kwenye kamba kwenye Rumble in The Jungle! Joshua anacheza vizuri sana na lazima uelewe kwamba heavy weight siyo lele mama, task ya kwanza ni kuzuia usipigwe ngumi, task ya pili ndiyo kuattack!
 
[/QUOTmuhammad alli alikuwa hatari , AJ is sluggish , Alli na lennox lewis walikuwa sawa kinoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom