Recent content by Part Asifiwe kilen Malila

  1. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

    Naona mwandishi hujui maana halisi ya mziki wa hipop
  2. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

    Ushirikina bongo utaisha lini
  3. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Tupe data ..... Nikuulize je mo ameajiri watu wangapi ??? Ana mchango kiasi Gani kwenye GDP ya bongo ... Tusipende kuharibu watu tunafaa kujifunza kutoka kwao maana ukizungumzia Metl ni kampuni iliyoajiri watu zaidi ya 25000 sasa unataka kusema Nini hapo
  4. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Mtoa mada unajua mo anaendesha project ngapi kwa mwaka au unasema tu???
  5. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

    Na Mimi Nina swali.... Je uuzaji wa mchicha upoje??? Madalali wanafika shambani au???
  6. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo yanayopaswa kuongezwa kwenye mitaala ya shule zetu

    Elimu nzuri sana umetoa boss
  7. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Yafahamu mambo yanayopoteza muda

    Samahani mkuu
  8. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Yafahamu mambo yanayopoteza muda

    Moja kati ya mambo ambayo ni muhimu sana kwenye maisha ni muda. Je, unatumia vipi muda wako? Katika masaa 24 huwa unayagawa kwa namna gani? Je, unawekeza katika muda wako? Siku yako yenye masaa 24 umeigawa vipi? Yafuatayo ni mambo sita Yanayo poteza muda 1. Mitandao ya kijamii (social...
  9. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Zifahamu athari za elimu inayofundishwa katika nchi za Dunia ya tatu kama Tanzania

    Elimu elimu elimu 😜😜😜😜 ni moja kati ya chemsha bongo kubwa ambazo Zinakumba jamii nyingi za Afrika Hadi Leo !!! Jamii zetu Zina vijana wenye talent, uwezo ,vipaji, vision na hamu ya kufanikiwa lakini Bado mfumo wa elimu unakwamisha maendeleo. Zifuatazo ni athari za elimu inayofundishwa katika...
  10. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

    Hello, naomba nichangie kama moja ya wahitimu wa kidato Cha Sita ... Mtoa mada umegusia sana kuhusu kusoma unachokipenda ili mhitimu aweze kujiajiri ... 😭😭😭 Suala la ajira tz ni tatizo Kwa sababu Sasa hivi Dunia imehama kutoka kweny talent and passion na imeelekea kweny skills and experience...
  11. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Guardiola the machine

    Ww unaesema kuwa gurdiola Hana skills ,hebu jibu swali hili ukiitoa Liverpool pale wiingereza taja timu nyingine yenye skills ,sikiliza Kuna mambo mengi sana katika soka ukiangalia vizuri man city inabebwa sana na mbinu za gurdiola so kusema kwamba hana technical skills ni kudharau kocha Bora...
  12. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Serikali ijiheshimishe kuhusu wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Let's give them time 2025 is not far
  13. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Dunia ilipaswa kujitenga na Marekani mara baada ya Vita ya II ya Dunia

    Zifahamu sababu za mgogoro kati ya Japan na Marekani 1945 1. Vita vya pili vya Dunia; hii ni moja kati ya sababu za kulipuliwa Kwa Hiroshima na Nagasaki Kwa sababu mataifa haya mawili yalikuwa katika " alliance " mbili tofauti hivyo basi suala la chuki lilikuwa ni lazima kutokea kati Yao . USA...
  14. Part Asifiwe kilen Malila

    JamiiForums Tanzania Dunia ilipaswa kujitenga na Marekani mara baada ya Vita ya II ya Dunia

    M KKwa Kwanza kabisa kabla ya marekani kuipiga Japan inasemekana kwamba Japan ililipua pearl harbor ambayo ilikuwa ni moja kati ya bandari za msingi .... Na Kuna sababu nyingine zilimfanya marekani ilipue miji hiyo ya Nagasaki na Hiroshima mwaka 1945 .... Lakini hata baada ya hapo USA...
Back
Top Bottom