Guardiola the machine

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
3,264
7,814
Absolutely amazing scenes at the Etihad. Last time I saw this was at the same Etihad in 2012

And yesterday I couldn't resist my tears after observing Gudiola in tears.

Actually it was my first time to see This Spanish dude in that situation.

And then where are they those morons used to compare this machine with the rest managers?

Are they still in coma even after witnessing Gargantum things like these? 😂😂

20220523_095338.jpg
 
Naomba nikiri wazi kuwa nyavu na miamba ya magoli ya wenzetu ni ya kiwango kisichotia shaka. Tazama watu wengi walining'inia juu kwa dakika kadhaa bila nyavu kuchanika wala mwamba kupinda
 
Champion league si nyepesi hivyo kwa kocha yoyote yule.

Almost makocha wote wakubwa wana UEFA mbili tu ukimtoa Don Carlo na Zidane.

Sasa Kwanini iwe kwa Pep ambaye teyari anayo hayo makombe mawili ya UEFA na pengine anaweza akaongeza la tatu miaka ijayo.
lazima iwe pep kwa investment aliyofanya na vilabu alivyopitia!!? kwanini uefa zote achukue chini ya Barcelona wakati alikuwa vilabu kama bayern na sasa mancity ambazo zote ni zamoto!!?
 
kwenye mpira hamnaga bahati kuna kuzidiwa mbinu mkuu!!? toka yuko bayern na kikosi bora kabisa unasema alikuwa hana bahati!!? kwanini hiyo bahat asingekosa akiwa na Barcelona iliyojaa maviungo fundi na kikosi cha dunia!!?
Mdau bahati ipo kwenye soka kwenye 100% ,90 % ni technical skills of football ,10% ndo bahati ilipo
 
Mdau bahati ipo kwenye soka kwenye 100% ,90 % ni technical skills of football ,10% ndo bahati ilipo
basi mpaka hapo anachokosa ni technical skills na sio bahati mkuu kama ambayo haiji mara mbili na ndivyo ambayo haikukosi siku zote!!! je unajua ni miaka mingapi sasa guardiola hana Uefa je kwa mantiki ya kawaida utaita hii ni bahat
 
Ww unaesema kuwa gurdiola Hana skills ,hebu jibu swali hili ukiitoa Liverpool pale wiingereza taja timu nyingine yenye skills ,sikiliza Kuna mambo mengi sana katika soka ukiangalia vizuri man city inabebwa sana na mbinu za gurdiola so kusema kwamba hana technical skills ni kudharau kocha Bora England 🤗🤗🤗
 
Kama kocha kweli ashinde UEFA maana toka alipoondoka Barcelona analisikia tu mpaka Bayern Munich walimtimua UEFA ataisikia tu kina messi na iniesta walimbeba wakati ule.
 
basi mpaka hapo anachokosa ni technical skills na sio bahati mkuu kama ambayo haiji mara mbili na ndivyo ambayo haikukosi siku zote!!! je unajua ni miaka mingapi sasa guardiola hana Uefa je kwa mantiki ya kawaida utaita hii ni bahat
Pep hana cha kuprove kwako au mtu yoyote, sio kocha wa kuprove kitu kwa mtu, he is the best manager of all time, taja taji ambalo hajachukua?
 
Back
Top Bottom