Yafahamu mambo yanayopoteza muda

Yafahamu mambo yanayopoteza muda

Wewe usichanganye ignorance na msaada, mwanaume kweli dar es salaam hi unlike 80k kwamwezi ni kujidhalilisha au kua ignorant kuhusu thamani ya utu wako utaiahi je kwamba na hicho kiasi.
Ajahah ila bhna haya mambo kila mtu ana mtazamo wake kuhusu ili swala lakini kila mtu afanye kazi zake
 
Kaka wewe kwa historia yako uliazia na mshahara wa laki tano? Au tatu?
Way back inibidi ni scratch from the beginning mm nilijituma sana na for Real always am lucky....

Let say Ukinunua kitanda mshahara wa mwezi una isha....ukinunua godoro mshahara wa mwezi unaisha....ukinunua sofa mshahara wa mwezi umeishia... Ukilipa Kodi elfu 40*3 =120k mshahara umeisha 🤓🤓🤓

Huwa natamani kuwa andikia vijana Uzi wajifunze... tangu mwaka juzi wajifunze kupitia mm....natamani kuandika madini Kwa ajili ya Vijana nikipata wasaa...

Survival for the fittest & fastest
 
Way back inibidi ni scratch from the beginning mm nilijituma sana na for Real always am lucky....

Let say Ukinunua kitanda mshahara wa mwezi una isha....ukinunua godoro mshahara wa mwezi unaisha....ukinunua sofa mshahara wa mwezi umeishia... Ukilipa Kodi elfu 40*3 =120k mshahara umeisha 🤓🤓🤓

Huwa natamani kuwa andikia vijana Uzi wajifunze... tangu mwaka juzi wajifunze kupitia mm....natamani kuandika madini Kwa ajili ya Vijana nikipata wasaa...

Survival for the fittest & fatest
Yah umeona uliijituma ni wachache ambao wana aza kazi kwa mshahara mkubwa wengine ili wanunue godoro wanatakiwa wasave mishahara mitatu mbele
 
Katika Afica mdaa hauna thamani very cheap, mtu mtu anafanya masaa 12 kwa siku kwamwezi siku 30 ila analipwa 150k. Imagine
Employers are willing to pay more if you have advanced skills and experience. In short be difficult to replace and you will earn more
 
Mie nimeigawa siku yangu kwa makundi matatu yaani:
Masaa 8(kufanya shughuli zangu za kimaendeleo, hapa sina mchezo).

Masaa 8 ( nafanya shughuli zingine za ziada zilizo kwenye vipaumbele vyangu, yaani vitu vyote vile ninapendelea kufanya navifanya ndani ya muda huu.

Masaa 8 ( haya masaa ni kwa ajili ya kuupumzisha mwili na akili hakuna mjadala kwa hili) siku imeisha.

Kazi ni utekelezaji.
 
Usisahau na misikiti
Nasikitika sana kuona hivi vitu viwili ndio mwelekeo wa Mbantu ila havijamkomboa mbantu hata robo.
Kutwa nzima unawza kuswali tu.
Nimewahi jaribu kusali sala tano i end up being a slave of mosque.
I decided to take my rensposibilitie and work on them and left out others' people responsibilities. Now i'm free s
and not driven by other peoples' emotion.
Religion is a weapon to steal human being freedom.
Kujikomboa kifikra sio jambo rahisi.
Always religious activist think that they are right.
 
Sisi Waafrika muda sio kipaumbele na ndio maana kuna hadi methali ya Kawia lakini ufike. Muda ni utamaduni wa kigeni. Siku tutakapokuwa active na muda tutakuwa na maendeleo makubwa. Ndio maana unaweza kuona barabara inarekebishwa kuwekewa viraka tu inakaa mwezi mzima mara wakoroge zege wanaondoka hadi miezi mitatu wanarudi zege limekauka, wanaleta mchanga wanapotea, wanarudi Kuja kufanya survey kujiridhisha kama kweli kiraka kiwekwe au la[emoji23][emoji23] ilimradi tu muda unaenda.

Hujawahi kumsikia mtu anakwambia ngoja nikatembee tembee nipoteze muda au jua liende [emoji38]. This is Africa no stress no pressure.

Hata wengine wakikutana na makampuni yenye pressure nyingi huwa wanaamua kuachana na ajira.
 
Back
Top Bottom