Part Asifiwe kilen Malila
Member
- May 16, 2022
- 22
- 57
Moja kati ya mambo ambayo ni muhimu sana kwenye maisha ni muda.
Je, unatumia vipi muda wako?
Katika masaa 24 huwa unayagawa kwa namna gani?
Je, unawekeza katika muda wako?
Siku yako yenye masaa 24 umeigawa vipi?
Yafuatayo ni mambo sita Yanayo poteza muda
1. Mitandao ya kijamii (social media)
Utafiti wa kawaida unaonesha kwamba watu wengi hupoteza muda wao kwenye mitandao kama vile Instagram, Twitter, Whatsapp nk mitandao ya kijamii hutokana na matumizi ya simu mabovu na yasiyo hitajika kwani mtu anaweza kutumia zaidi ya masaa matatu kwa siku moja.
2. Kutokuwa na ratiba maalum
Ratiba ni list ya majukumu au mambo ambayo mtu anataka kufanya katika siku Fulani na kwa mpangilio unaotakiwa katika siku hiyo na muda mahususi. Sasa mtu anayekosa ratiba huwa na uwezekano mkubwa wa kupoteza muda wake kuliko mwenye ratiba maalumu inayomuongoza.
3. Marafiki
Hoja hii huonekana kama ya kitoto .... Lakini fikiria[emoji848][emoji848][emoji848] ya kwamba unatakiwa kuhudhuria kikao cha harusi ama appointment ya kibiashara nk sasa mara nyingi watu huairisha mambo ya msingi kutokana na ushawishi wa marafiki na kushindwa kwenda kufuata ratiba zao na kwenda kutimiza ratiba za wengine.
4. Kutokuwa na vipaumbele
Kukosa vipaombele (priorities) hufanya watu kushiriki kwenye kila kitu na hatimaye kupoteza muda. Na hii ndiyo tofauti kati ya masikini na tajiri, masikini huitwa kwenye matamasha ya muziki, fiesta nk na sababu kubwa ni kutokuwa na vipaombele ni nadra sana kuwakuta matajiri huko.
MBINU ZA KUTUMIA MUDA VIZURI
1. Fahamu vipaumbele vyako
2. Kuwa na ratiba maalumu
3. Epuka marafiki wanaopoteza muda
4 kuwa na matumizi sahihi ya simu
Asanteni
[emoji4][emoji4][emoji4]